ELIMU
-Kidato cha sita
-Shahada/Stashahada ya HR MANAGEMENT
UZOEFU
-Awe na uzoefu wa kufanya kazi wa miaka miwili
MSHAHARA
-Mshahara mzuri utatolewa kulinagana na ujuzi na makubaliano
Kuanza kazi: Mara moja
------------------
TUMA MAOMBI YAKO KWA:
HR & ADMIN MANAGER
TANPACK TISSUES LIMITED
Barua pepe:Hradmin@tanpacktissue.com
Chanzo:Mwananchi 18/12/2013
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
2.FUNDI UMEME
ELIMU
-Kidato cha nne
-Diploma in Electrical Installation/Trade Test Grade 1
UZOEFU
-Awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani kwa muda usiopungua miaka miwili
MSHAHARA
-Mshahara mzuri utatolewa kulinagana na ujuzi na makubaliano
Kuanza kazi: Mara moja
------------------
TUMA MAOMBI YAKO KWA:
HR & ADMIN MANAGER
TANPACK TISSUES LIMITED
Barua pepe:Hradmin@tanpacktissue.com
Chanzo:Mwananchi 18/12/2013
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
NAFASI ZA KAZI TANPACK TISSUES LIMITED DES 2013
Reviewed by Unknown
on
10:24:00 PM
Rating: