Phone: 2617688/9
Position: Walimu wa Somo la Hisabati, Sayansi , Tehama (ICT), Haiba na Michezo.
Location: Dar es Salaam
Deadline :Dec 31 2013
Descriptions:
Shule ya msingi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyopo Mbezi Beach, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Shule ni ya mchepuo wa kiingereza, inatangaza nafasi za kazi za ualimu na Afisa Utawala Msaidizi. Walimu wa Somo la Hisabati, Sayansi , Tehama (ICT), Haiba na Michezo.
Qualifications:
Sifa za Mwombaji
• Awe na shahada /stashahada ya Ualimu katika masomo yaliyoainishwa hapo juu kutoka katika chuo kinachotambuliwa
• Awe na uwezo wa kuongea kiingereza kwa ufasaha.
• Awe na uwezo wa kujituma na kufanya kazi bila kusimamiwa.
• Awe na umri usiozidi miaka 40
Mshahara:
• Mshahara utategemea uzoefu,ujuzi na makubaliano.

How to apply:
Maombi yaambatane na ivuli vya vyeti vya mafunzo, taarifa binafsi (CV), Anwani na namba za simu za wadhamini watatu.
Maombi yaandikwe kwa mkono na yapelekwe shuleni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mbezi Beach kabla ya tarehe 31/12/2013 au yatumwe kwa barua pepe: mwljuliusknyerereschool@gmail.com
MWALIMU JULIUS K. NYERERE SCHOOL
CHIRIKU ST,PLOT 2069/1, BLOCK E, MBEZI BEACH,P.O BOX 9443, Tel: 2617688/9 , DAR ES SALAAM.

Walimu wa Somo la Hisabati, Sayansi , Tehama (ICT), Haiba na Michezo
Reviewed by Unknown
on
6:15:00 AM
Rating: