Kampuni ya Melkior Patrick& Daughters Limited iko barabara ya New Bagamoyo kati ya afrikana na barabara inayoelekea kunduch karibu na kituo cha mafuta cha camel oil.Kampuni hiyo inashughulika na utengenezaji wa magari ya aina yote,kunyoosha na kupiga rangi.
Wanahitaji wafanyakazi wafuatao;
2.Mafundi wa kunyoosha magari(Panel Beaters)
Wawe na sifa zifuatazo:
-Wawe na vyeti vya VETA au uzoefu wa kufanya kai ya aina hiyo katika gereji kwa muda mrefu
-Kwa wale wasio na vyeti wawe na uzoefu wa kufanya kazi ya aina hiyo katka gereji usiopungua miaka minne
Maombi ya kazi yatumwe kwa :
Mkurugenzi Mtendaji,
S.l.p 9670
Dar es salaam,
au yaletwe ofisini au kwa E-mail:patrickmelkior@yahoo.com
mwisho wa kutuma maombi ni terehe 18 December 2013
Chazo:Mwananchi 7/12/2013

Mafundi wa kunyoosha magari(Panel Beaters)
Reviewed by Unknown
on
7:04:00 AM
Rating: