Kampuni ya Melkior Patrick& Daughters Limited iko barabara ya New Bagamoyo kati ya afrikana na barabara inayoelekea kunduch karibu na kituo cha mafuta cha camel oil.Kampuni hiyo inashughulika na utengenezaji wa magari ya aina yote,kunyoosha na kupiga rangi.
Wanahitaji wafanyakazi wafuatao;
1.Fundi Makanika wa Magari(Automobile Mechanics/Motors Vehicle Mechanics)
Wawe na Sifa zifuatazo:
-Wawe na Diploma in Automobile Engineering au vyeti vya Vocational Education and Training(VETA)
-Wawe na uzoefu wa kufanya kazi au aina hiyo katika gereji zinazotambulika usiopungua miaka mitatu
Maombi ya kazi yatumwe kwa :
Mkurugenzi Mtendaji,
S.l.p 9670
Dar es salaam,
au yaletwe ofisini au kwa E-mail:patrickmelkior@yahoo.com
mwisho wa kutuma maombi ni terehe 18 December 2013
Chazo:Mwananchi 7/12/2013

Fundi Makanika wa Magari(Automobile Mechanics/Motors Vehicle Mechanics)
Reviewed by Unknown
on
7:03:00 AM
Rating: