Company: Jeshi la Zima moto na uokoaji
Phone: No calls required please
Position: Mkaguzi Msaidizi wa Zimatomo na Uokoaji(Assistant Inspector of Fire and Rescue )-103 nafasi.
Location: Dar es Salaam
Deadline :Feb 1 2014
Descriptions:
Kamishina wa Jeshi la Zima moto na uokoaji anawatangazia Watanzania wenye Sifa kutuma maombi ya kazi kujaza nafasi za kazi zifuatazo; Karibu Jfasta.com| Mtandao wa pekee unaokupa taarifa za kazi . Tembelea www.jfasta.com Mkaguzi Nsaidizi wa Zimatomo na Uokoaji(Assistant Inspector of Fire and Rescue )-103 nafasi.
Qualifications:
Sifa za Muombaji
Karibu Jfasta.com| Mtandao wa pekee unaokupa taarifa za kazi
Tembelea www.jfasta.com
Mwombaji awe na Shahada au Stashahada ya Juu katika moja ya fani zifuatazo: Uhandisi,Usanifu wa majengo, Menejimenti ya Maafa (Dissaster Management),Biashara (Business Administration, Utawala, Rasilimaliwatu, Mazingira, Ualimu, Udaktari na Sayansi ya kmpyuta kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.
Kazi za kufanya .
i.Kusimamia utoaji huduma ya kwanza kwa majeruhi katika matukio ya maafa.
ii.Kufanya ukaguzi wa tahadhari na kinga za moto kwenye maeneo mbalimbali kama vile viwanja vya ndege,miji,bandari na vijiji.
iii.Kutoa elimu ya tahadhari ya moto kwa umma.
iv.Kusimamia na kuratibu shughuli z uzimaji moto na uokoaji kwa kuchukua taarifa toka kwa wazimamoto(Firefighers) na kuziwasilisha kwa kamanda wa tukio, na kuchukua amri toka juu na kuwapelekea wa chini;
v.Kufanya uchunguzi wa matukio mbalimbali ya moto;
vi.Kutoa mafunzo ya kinga ya moto, kuzima moto vilivyo chini ya usimamizi wake;
vii.Kufanya ukaguzi wa ‘fire pumps’ na ‘Fireman lifts’ kwenye majengo marefu na viwandani;
viii.Kusanifu mifumo ya kuashiria, kung’amua na kuzimamoto (Fire Alarm, Fire Detection and Fire Suppression systems);
ix
Kusoma ramani za majengo na kutoa ushauri wa vifaa vya tahadhari vinavyotakiwa kufungwa kwenye majengo kabla na baada ya ujenzi na,

xi
Kuelekeza kazi nyingine atakazopangiwa na viongozi wake.

How to apply:
MASHARTI MUHIMU YA KUZINGATIA.
i.Mwombaji awe raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 30, mwenye afya njema na ambaye hajaoa au kuolewa.
Karibu Jfasta.com| Mtandao wa pekee unaokupa taarifa za kazi
Tembelea www.jfasta.com
ii.Mwombaji awe hajatenda kosa lolote la jinai.
iii.Mwombaji awe tayari kuhudhuria mafunzo ya kijeshi kwa muda usiopungua miezi 6 kabla ya kuajiriwa.
iv.Mwombaji awe tayari kufanya kazi mahali popote atakaopopangiwa ndani ya Nchi.
v.Mwombaji aliyehudhuria na kufaulu mafunzo ya Zimamoto na Uokoaji yanayotolewa na Chuo cha Zimamoto na Uokoaji au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali , atafikiriwa kwanza.
vi.Waombaji wenye sifa waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa.
vii. Barua zote za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya masomo ya kidato cha nne na sita pamoja na vya taaluma/ujuzi, wasifu wa mwombaji(CV),Ikiwa na majina ya wadhamini watatu na anwani zao, nakala ya cheti cha kuzaliwa na picha mbili ndogo za pasipoti.
viii. Mwombaji aandike kazi aliyoomba juu ya bahasha.
ix. Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 1 Februari, 2014.
x.Barua zote za maombi zitumwe kwa njia ya Posta.
xi.Mwombaji wa kazi ya Sajini na Konstebo wa Zimamoto na Uokoaji watume barua za maombi kwa abnuani ifuatayo;
Kamishina Jenerali,
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
S.L.P 5821,
DAR ES SALAAM.

Waombaji wa kazi ya Mkaguzi Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji watume barua za maombi kwa anuani ifuatayo:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
SL.P 9223,
DAR ES SALAAM.
From Daily News Monday January 20,2014.

Mkaguzi Msaidizi wa Zimatomo na Uokoaji(Assistant Inspector of Fire and Rescue )-103 nafasi
Reviewed by Unknown
on
8:06:00 AM
Rating: