NAFASI ZA KAZI MTWARA JAN 2014

VICTORIA HOTEL NI HOTEL MPYA MJINI MTWARA  INAYOTEGEMEA KUFUNGULIWA SIKU CHACHE ZIJAZO MAENEO YA SHANGANI WEST 

MMILIKI WA HOTEL ANAPENDA KUTANGAZA NAFASI HIZI ZA KAZI ZILIZOZOBAKIA ZINAZOHITAJIKA KUJAZWA HARAKA IWEZEKANAVYO.

RECEPTIONIST/ MAPOKEZI MTU MMOJA

  1. Awe mkarimu mwenye kupenda kuongea na wageni na uwezo wa kujielezea kwa lugha fasaha Kiswahili na kiingereza
  2. Awe mwenye huruma, heshima na mvumilivua kwa wageni pia apende kujituma na kuipenda kazi yake.
  3. Awe na uzoefu wa kazi hii kuanzia mwaka mmoja na kuendelea katika hotel.
  4. Aweze msafi / Mtanashati kwakila kitu.
  5. Awe anaweza kutumia compyuta vizuri Ms word, Ms Exell, na internet
  6. Aweze kusoma, kuandika na kuongea kiingereza kizuri
  7. Kama anatoka nje ya mtwara atapatiwa malazi bure
  8. Mshahara mzuri sana

COOK / MPISHI MMOJA

  1. Awe chapa kazi mwenye kujituna na kuipenda kazi yake
  2. Awe msafi na mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe baada ya kuelekezwa menu
  3. Awe na ujuzi wa kuchoma nyama vizuri pamoja na huduma ya A la carte
  4. Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwenye restaurant ya maana au hotel yamaana sio mgahawa.
  5. Awe mtu anaejiheshimu na anaheshimu wateja pia anauwezo wa kuelezea chakula chake kwa wateja.
  6. Awe mbunifu na mwenye kichwa chepesi cha kujifunza vitu vipya
  7. Aweze kupika chakula chenye ladha
  8. Kama anatoka nje ya mtwara atapatiwa malazi na mshahara mzuri.

KWA MAHOJIANO  YA SIMU KABLA YA KUTUMA CV PIGA SIMU HII 0685 116440 UKIFANIKIWA UTAPATA EMAIL NA KUTUMA CV YAKO. 

MMILIKI VICTORIA HOTEL. MTWARA.

NAFASI ZA KAZI MTWARA JAN 2014 NAFASI ZA KAZI MTWARA JAN 2014 Reviewed by Unknown on 6:05:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.