TANGAZO NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anatangaza nafasi ishirini na nne (24) za kazi. Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote
mwenye sifa hizo zilizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi ya Kazi: KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III - (NAFASI 7)
SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV).
Awe amehudhuria rnafu nzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.
Awe amefaulu somo la Hati Mkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika rnoja
Awe amepat a mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali na
kupata Cheti kauka Program za Windows, Microsoft Office, Internet, Ernail na Publisher.
KAZI NA MAJUKUMU:
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
Kusaidia kupokea Wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza
kushughulikiwa
Kusaidia Kutunza Kumbukumbu/taarifa za matukio, miadi, Wageni, Larche za vikao, safari
za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutelekezwa katika Olisi anayofanyia
kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote
kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini
Kusaidia kufikisha maelckezo ya Mkuu wake wa kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu
kuhusu taarifa zozote atakazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maalisa walio katika schemu alipo na
kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
Kutckeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.
Ngazi ya Mshahara: TGS B

APPLICATION INSTRUCTIONS:
UTARATIBU WA UOMBAJI:
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo . .
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za Vyeti vya Elimu , Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size). ..
Barua za maombi ziambatishwc na maelezo Binafsi ya Mwornbaji (CV)
Waombaji waliosoma Nje ya Nchi waambatanishe uthibitisho wa Vyeti vyao kutoka Baraza laMtihani la Taifa (NECTA)
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri wa kuazia miaka 18 na umri u siozidi rniaka 45
Waombaji waliokidhi vigezo wataitwa kwcnyc u saili .
Waombaji watakaoilwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (original Cer-tificate]
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na narnba zao srmu .
N.B: Maombi yote yaturnwe kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WlLAYA YA GAIRO
S.L.P 40,
GAIRO
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 30.07.2015 saa 9:30 Alasiri
Mbwana S. Magotta
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA GAIRO

Katibu Mahsusi - Halmashauri ya Wilaya ya Gairo
Reviewed by Unknown
on
1:56:00 AM
Rating: