JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI VA WAZIRI MKUU
TAWA LA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA SAME.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawatangazia nafasi ishirini na nne (23) za kazi. ' Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili.
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- (NAFASI 18)
SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
Awe amehitimu mafunzo ya Astashahada/ Chetl katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria,Elimu ya
Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa Kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa
Hombolo Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU:
i) Atakuwa ni Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa serikali ya KijijL
ii) Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na msimamizi wa Utawala Bora Katika KijijL
iii) Kuratibu na Kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji
iv) Kuwa katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya KijijL .
v) Kutafsiri na kusimamia Sera,Sheria na Taratibu katika KijijL
vi) Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha Wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa umaskini, njaa na kuongeza uzalishaji rnali.
vii) Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji
viii) Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu katika KijijL
Ngaz; ya Mshahara: TGS B
UTARATIBU WA UOMBAJI:
•Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya
Wilaya ya Same.
•Barua za maombi ziambatishwe na nakala za Vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size).
•Barua za maombi ziambatishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (Cv).
•Waombaji waliosoma Nje ya Nchi waambatishe uthlbltlsho wa Vyeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA).
•Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45.
•Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili
•Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (original Certificate)
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

N.B: Maombi yote yatumwe kwa anuanl ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WI LAYA YA SAME
S.L.P 138,
SAME
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 21.08.2015 saa 9:30 Alasiri.
Monica P.Z Kwiluhya
MKURUGENZI MTENDAJI(W)
SAME.

Mtendaji Wa Kijiji - Halmashauri ya Wilaya ya Same
Reviewed by Unknown
on
5:18:00 AM
Rating: