JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI VA WAZIRI MKUU
TAWA LA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA SAME.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawatangazia nafasi ishirini na nne (23) za kazi. ' Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili.
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II- (NAFASI 3)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
Awe na Cheti cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika fani ya Masjala kutoka chuo chochote _
kinachotambuliwa na SerikalL
KAZI NA MAJUKUMU: '
i) Kutafuta kumbukumbu INyaraka IMajalada yanayohitajika na wasomaji
ii) Kudhibiti Upokeaji, Uandikishaji wa kumbukumbul Nyaraka,
iii) Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbul Nyaraka katika makundi kulingana na somo
husika kwa ajili ya matumizi ya Ofisi,
iv) Kuweka Ikupanga kumbukumbu/Nyaraka katika reki,
v) Kuweka kumbukumbu katika majalada.
vi) Kushughulikia maombi ya kumbukumbul Nyaraka kutoka Taasisi za SerikalL
Ngaz; ya Mshahara: TGS B.
UTARATIBU WA UOMBAJI:
•Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya
Wilaya ya Same.
•Barua za maombi ziambatishwe na nakala za Vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size).
•Barua za maombi ziambatishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (Cv).
•Waombaji waliosoma Nje ya Nchi waambatishe uthlbltlsho wa Vyeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA).
•Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45.
•Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili
•Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (original Certificate)
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

N.B: Maombi yote yatumwe kwa anuanl ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WI LAYA YA SAME
S.L.P 138,
SAME
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 21.08.2015 saa 9:30 Alasiri.
Monica P.Z Kwiluhya
MKURUGENZI MTENDAJI(W)
SAME.

Msaidizi wa Kumbukumbu - Halmashauri ya Wilaya ya Same
Reviewed by Unknown
on
5:17:00 AM
Rating: