Mzunguko wa 9 ( Global Fund Round 9). Moja ya malengo ya mradi ni pamoja na; kuongeza wataalam wa afya, ili kuimarisha huduma za UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na huduma nyinginezo katika Halmashauri za Wilaya zenye upungufu wa watumishi wa afya. Katika awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi huu (2011 - 2013), watumishi wa afya 230 na wakufunzi wa afya 137 waliajiriwa na kupangiwa kazi katika Halmashauri za Wilaya 35 na Vyuo vya afya 43
SEARCH AND APPLY
TANGAZO LA KAZI Benjamin William Mkapa HIV/AIDS , Jan 2014
Reviewed by Unknown
on
5:51:00 AM
Rating: