Shirika la akina mama la kuzuia
ukatili majumbani WDVPO zamani likiitwa WOSCA
ni shirika lisilo la kiserikali
linaloshughulika kuzuia ukatili wa kijinsia
Dira Kuona jamii yote ya
wilaya ya Muleba inaishi kwa amani na furaha
na hakuna aina yoyote ya vitendo
vya unyanyasaji na ukatili
wa kijinsia ,
Nafasi ya kazi : Mratibu wa Shirika
Pahala Nshamba Wilaya ya Muleba
Kazi na wajibu wa
Mratibu
·
Mratibu ni msimamizi wa utendaji wa shughuli zote
za asasi katika kupanga, kutekeleza, na kuratibu ufuatiliaji na tathmini. Utawala ,bajeti na na
uendeshaji
·
Kuhakikisha
wafanyakazi wenzie wanafanya kazi na wanawajibika ipasavyo
·
Kukagua miradi kwa haraka na kwa
umakini nakuweza kubaini mapungufu
na kukabiliana nayo mapema
·
Kuweka taratibu nzuri za kumbukumbu za kazi zjnazofanyika kwa
kuweka mtiririko wa maandshi na kuwasiliano .Pia yanayohitajka kufanyiwa kazi na Bodi
·
Kuvumbua utendaji mbovu nakurekebisha
·
Kutafuta vyanzo
vya mapato na nakutuma maombi ya ufadhili
·
Kutayarisha ripoti
mbalmbali za utendaji kwa muda mwafaka na kwa uledi
mfano ripoti ya robo
mwaka , ripoti ya nusu mwaka na
ripoti ya mwaka
Sifa zinazohitajika
- Awe na shahada yaUstawi wa jamii na maendeleo au shahada ya walimu , au shahada inayoendana na kazi husika
Uzoefu ubunifu na uwezo
·
Miaka 2 hadi 4 katka katika kusimamia miradi
ya kijamii
·
Uwe
kiongozi mwenye msimamo usiyetetereka mwenye haiba ya mawasiliano na uongozi
·
Mwenye uzoefu wa kuandika miradi ya ufadhili
·
Awe na uzoefu wa matumizi ya Komputa
·
Awe na uzoefu wa
miradi inayofadhiliwa
·
Awe
mwenye uledi katika mawasiliano ya maandishi na kuongea kiingereza pamoja
nauandishi wa ripoti
·
Awe na
uledi wa uongozi ngazi ya menejimenti\
Namna ya kutuma maombi
Kama
unaamini unazo sifa zinazohitajika basi
lete maombi yako kwa maandishi
ukiambatanisha nakala ya vyeti vyako na
ikionyesha mwajili wako kwa sasa
na namba ya simu pamoja na
wadhamini wawili kwa Mwenyekiti wa WDVPO
P O Box 254 Muleba au Kwa Email dvporg@ymail.com
Mwisho wa kutuma maombi tarehe 30 January 2014
Ikifika
tarehe 25/2/2014 hujajibiwa ina maana maombi yako hayajakubaliwa
Mratibu wa Shirika
Reviewed by Unknown
on
8:29:00 AM
Rating: