TANGAZO NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anatangaza nafasi ishirini na nne (24) za kazi. Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote
mwenye sifa hizo zilizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi ya Kazi: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU.DARAJA LA II - (NAFASI 2)
SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na Elimu ya Kidruo cha Nile (IV) au Sita (VI).
Awe na Cheti cha Utunzaji wa Kurnbukurnbu katika fani ya Masjala.
KAZI NA MAJUKUMU:
Kutafura Kumbukumbu/Nyaraka/l\!afaili yariayohitajika na wasomaji
Kudhibiti upokeaji, uaridikishaji wa Kumbukumbu/Nyaral,a
Kucharnbua. kuorodhesha na kupanga kumbukurnbu/Nyaraka katika makundi kulingana na somo husika kwaajili ya maturnizi ya Ofisi
Kuweka/Kupanga Kumbukurnbu ZNyaraka katika reki
Kuweka Kumbukurnbu katika mafaili
Kushugbulikia maombi ya Kumbuku mbuv Nyaraka ku tok a Taasisi za Serikali
Ngazi ya Mshahara: TGS B

APPLICATION INSTRUCTIONS:
UTARATIBU WA UOMBAJI:
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo . .
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za Vyeti \'ya Elirnu , Taaluma, Cheri cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size). ..
Barua za maombi ziambatishwc na maelezo Binafsi ya Mwornbaji (CV)
Waombaji waliosoma Nje ya Nehi waambatanishe uthibitisho wa Vyeu vyao kutoka Baraza la
Mtihani la Taifa (NECTA)
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri wa kuazia miaka 18 na umri u siozidi rniaka 45
Waombaji waliokidhi vigezo wataitwa kwcnyc u saili .
Waombaji watakaoilwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (original Cer-tificate]
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na narnba zao srmu .
N.B: Maombi yote yaturnwe kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WlLAYA YA GAIRO
S.L.P 40,
GAIRO
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 30.07.2015 saa 9:30 Alasiri
Mbwana S. Magotta
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA GAIRO

Msaidizi wa Kumbukumbu - Halmashauri ya Wilaya ya Gairo
Reviewed by Unknown
on
1:54:00 AM
Rating: