AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA - 10/13/2014

Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-
MASHARTI YA KUAJIRIWA:
1.    JINSI: Mvulana au Msichana ambaye hajawahi kuoa
au kuolewa na asiwe na mtoto
2.    URAIA: Awe Raia wa Tanzania Bara
3.    UMRI:
(a)  Wahitimu wa Shahada: Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 28
(b)  Wasio na Shahada: Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 24
4.    UREFU:
(a) Wavulana: Wawe na urefu usiopungua Sentimeta 170.2 au Futi 5 na inchi 7
(b) Wasichana: Wawe na urefu usiopungua Sentimeta 167.64 au Futi 5 na inchi 4
5.    SIFA NYINGINEZO:
i)    Awe amehitimu Elimu yake kati ya Mwaka 2012 na 2014
ii)    Awe na Afya nzuri iliyothibitishwa na Daktari anayetambuliwa na Serikali
iii)    Awe hajawahi kushtakiwa wala kupatikana kwa kosa lolote la jinai
iv)    Awe na tabia na mwenendo mzuri
v)    Awe hajawahi kuajiriwa mahali popote Serikalini
7.    ELIMU:
(a)    Wenye Shahada katika Fani au Taaluma zifuatazo:
(i)    Shahada ya Sheria (Laws)
(ii)    Utekelezaji wa Sheria (Law Enforcement)
(iii)    Takwimu (Applied Statistics)
(iv)    Uchumi na Mipango (Economic Planning)
(v)    Mazingira (Environmental Science and Management or Geography and Environment Studies)
(vi)    Usanifu Majengo (Architecture)
(vii)    Ukadiriaji Majengo (Building Economics)
(viii)    Mipango na Usimamizi Miradi (Project Planning and Management)
(ix)    Uhandisi wa Umeme (Electrical Engineering)
(x)    Uhandisi wa Mitambo ya Kilimo (Agricultural Engineering)
(xi)    Tiba ya Mifugo (Veterinary Medicine)
(xii)    Misitu  (Forestry)
(xiii)    Uchumi Kilimo (Agronomy)
(xiv)    Bima (Insurance)
(xv)    Uhasibu na Usimamizi wa Vyama Ushirika (Cooperative Management and Accountancy)
(xvi)     (Project Planning and Management)
(xvii)    Uhandisi Mazingira (Environmental Engineering)
(xviii)    Sayansi ya Kompyuta (Computer Science)
(xix)    Udaktari wa Binadamu (Doctor of Medicine)
(xx)    Ualimu wa Masomo ya Sayansi kama Fizikia, Kemia, Baiolojia na Hisabati
(xxi)    Ualimu wa Masomo ya Biashara na Kifaransa (Commercial Subjects, Economics and French)
(xxii)    Ukutubi (Library and Information Studies)
(xxiii)    Mahusiano (Public Relations)
(xxiv)    Biashara na Masoko (Commerce in Marketing)
(b)    WASIO NA SHAHADA
1.1: Wenye Stashahada (Diploma) toka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali katika Fani/Taaluma zifuatazo:-
(i)    Ukutubi (Library)
(ii)    Uchumi na Mipango (Economic Planning)
(iii)    Bima (Insurance)
(iv)    Uhasibu na Usimamizi wa Vyama Ushirika (Co-operative Management and Accountancy)
(v)    Mipango na Usimamizi Miradi (Project Planning and Management)
(vi)    Utabibu (Clinical Medicine)
(vii)    Uuguzi (Nursing)
(viii)    Maabara (Laboratory Technician)
(ix)    Mazoezi ya viungo (Physiotherapy)
(x)    Uandishi wa Habari (Journalism)
(xi)    Ufundi Magari (Automobile Technician)
(xii)    Ujenzi (Civil Engineering)
(ix)        Umwagiliaji (Irrigation)
(x)      Mitambo ya Kilimo (Agro-Mechanics)
(xi)    Umeme (Electrical Engineering)
(xii)    Usanifu Majengo (Architecture)
(xiii)    Ushauri Nasaha (Counseling and Guidance)
(xiv)    Uhandisi Mitambo (Mechanical Engineering)
(xv)    Sanaa na Muziki (Fine and Performing Arts)
(xvi)    Ualimu wa masomo ya Biashara, Uchumi na Kifaransa

1.2:    Wenye Astashahada/ Cheti cha Majaribio ya Ufundi katika Fani/Taaluma zifuatazo:-
(i)    Uhandisi Maji (Water Engineering)
(ii)    Ujenzi (Masonry)
(iii)    Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics)
(iv)    Umeme wa Magari (Auto-Electrical Engineering)
(v)    Waunganishaji Nondo (Steel Fixing)
(vi)    Useremala (Carpentry and Joinery)
(vii)    Bomba (Plumbing and Pipe Fitting)
(viii)    Rangi (Spray and Painting)
(ix)    Ushonaji (Tailoring)
(x)    Utengenezaji Sabuni (Soap Making)
(xi)    Ufumaji (Embroidery)
(xii)    Kutengeneza viatu (Shoe-Making)
(xiii)    Maabara (Laboratory Technician)
(xiv)    Uhitasi (Secretarial Studies with Computer Knowledge)
(xv)    Muziki na Utamaduni (Performing Arts and Music)
(xvi)    Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwife)
(xvii)    Utabibu Usaidizi (Clinical Assistant)

ZINGATIO:
Waombaji wa nafasi hizi wahakikishe wanazingatia masharti yote yaliyotajwa hapo juu. Upungufu au udanganyifu wowote utakaojitokeza kwa kutotimiza masharti yaliyotajwa hapo juu utasababisha maombi kutopokelewa na ikigundulika baada ya ajira mhusika atasitishwa mafunzo, kuachishwa kazi na kufikishwa Mahakamani.
8.    NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:

Waombaji wote watume maombi yao moja kwa moja kwa:-
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA,
MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA,
S.L.P 9190,
DAR ES SALAAM.
a)    Barua zote za maombi ziambatane na nakala za vyeti vyote vya elimu, ujuzi, Cheti cha kuzaliwa mwombaji na picha ndogo ya hivi karibuni ya mwombaji (Passport size photograph). Vyeti halisi na halali vitatakiwa kuoneshwa wakati wa usaili. Hati za matokeo ya mitihani (Results Slip/ Statement) hazitakubaliwa isipokuwa kwa wahitimu ambao vyeti vyao halisi havijatolewa na Vyuo husika pekee.
b)    Watakaofanikiwa kuitwa kwenye usaili watajulishwa kupitia katika Tovuti ya Jeshi la Magereza (www.magereza.go.tz), Magazeti na katika Mbao za matangazo zilizopo kwenye Ofizi za Wakuu wa Magereza wa Mikoa na Bwalo Kuu la Maafisa wa Magereza lililopo Ukonga Dar es salaam.
c)    Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15 Oktoba, 2014.
J. C. Minja
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA
19 SEPTEMBA, 2014
AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA - 10/13/2014 AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA - 10/13/2014 Reviewed by Unknown on 11:25:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Education Agricultural Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam Scholarships African Development Bank Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Zanzibar Environmental Catholic Relief Services Dar es salaam USAID Operations FHI 360 UNDP Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF Morogoro Utumishi AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Driver - Logistics Path International Mwanza African Union Tigo Jobs Marketing Mbeya Teaching Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Driver Buzwagi Gold Mine Jhpiego COMESA FINCA JOBS International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Nairobi Coca-Cola Handicap International Pact International Rio Tinto Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD Agriculture Jobs Dodoma Iringa One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa ActionAid Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Safety and Security Shinyanga Jobs Tanzania Breweries Pathfinder International World Health Organization KPMG TANROADS Tanzania Electric Supply Company British Council Futures Group KCB BANK UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays GEITA GOLD MINING TANESCO Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GOAL Mombasa Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor SNV International Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes TCRA Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative Kenyatta University Kigoma Mzumbe University NSSF National Social Security Fund Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital Nepad Partners in Health Room to Read SUMATRA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kagera Librarian MENTOR Initiative Trainee USAILI - INTERVIEW Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TANAPA TASAF Tanzania Social Action Fund Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Moshi NMB BANK Resolute Tanzania Singida Uganda Uganda National Roads Authority University of Dar es salaam University of Dodoma British High Commission ChildFund EWURA FilmAid International NECTA TPDC Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society MADEREVA Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Ruvuma Search for Common Ground Songea TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University NBC BANK National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Njombe Nuru International Nzoia sugar Company RTI International SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Udhamini wa Masomo Western Union AIR TANZANIA Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY SONGWE STAMIGOLD Stores TACAIDS TARURA TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BENKI YA POSTA - TPB BANK BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University ECOBANK ETDCO Electrical Transmission and Distribution Construction and Maintenance Company European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT INSURANCE JOBS - BIMA ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kilombero Sugar Company Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSD MEDICAL STORES DEPARTMENT MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières NIDA National Identification Authority Narok University College OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC PEPSI POLICE - POLISI Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNESCO UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.