Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwaniaba ya
Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGA’s) tarehe 30/7/2015 anatarajia
kuendesha usaili wa Kada ya Afisa Mtendaji wa Kata III, nahatimaye
kuwapangia vituo vya Kazi waombaji wa kazi watakao faulu usaili huo.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika kabla ya usaili kuanza saa Moja kamili
asubuhi (1.00).
2. Kuja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigiakura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita
na Stashahada.
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
2
9. Kwa wale waliosomanje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa namamlaka husika (TCU & NECTA)
10. Wale ambao majinayao haya kuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za
kazi zitakapotangazwa.
ZINGATIA: USAILI HUU UTAFANYIKIA DAR ES SALAAM KATIKA
OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA, MAKTABA KUU
YATAIFA GHOROFA YA PILI
SOMA MAJINA

Kuitwa kwenye usaili - WATENDAJI WA KATA III (30 July 2015)
Reviewed by Unknown
on
11:43:00 PM
Rating: