Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwaniaba ya
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAO) anatarajia
kuendesha usaili wa Vitendo wa waombaji wa Kazi wa kada mbalimbali
ambazo zilitangazwa katika tangazo la kazi la tarehe 6/5/2015. Watakao
faulu usaili huo wataingia kwenye usaili wa mahojiano ambao utafanyika
tarehe 29/7/2015.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa
kuzingatia ya fuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyi kakabla ya usaili wa Vitendo kuanza.
2. Kuja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigiakura, kazi, hatiya kusafiria n.k
3. KujanaVyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemea na
nafasi ya mwombaji.
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
2
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
9. Kwa wale waliosomanje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
10. Wale ambao majinayao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuombatena mara nafasi
zakazi zitakapo tangazwa.
ZINGATIA: USAILI HUU UTAFANYIKIA DAR ES SALAAM
SOMA MAJINA

Kuitwa kwenye usaili (27-30 July 2015)
Reviewed by Unknown
on
11:45:00 PM
Rating: