SOURCE; NIPASHE 17TH JULY 2015
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)
Muombaji awe na sifa zifuatazo;
• Awe amahitimu kidato cha IV
• Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu.
• awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher
KAZI NA MAJUKUMU
• Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
• Kusaidia kutunza taarifa /kumbukumbu za matukio, mladi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratibaya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake kwa wakati unaohitajika
• Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote yaambatanishwa na nakala za cheti cha kuhitimu taaluma , nakala ya cheti cha kidato cha Nne/sita, maelezo binafsi yanayojitoshereza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu na picha mbili (Passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na kidato cha Nne/Sita ni lazima vithibitishwe na hakimu au wakili anayetambulika na serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
• Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 30/07/2015
Katibu Muhtasi - Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Reviewed by Unknown
on
4:19:00 AM
Rating: