SOURCE; NIPASHE 17TH JULY 2015
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (NAFASI 5)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
• Awe amehitimu kidato cha Ne (IV)
• Awe amehitimu cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya Maendeleo ya jamii kutoka vyuo vya maendeleo ya jamii ya Buhare na Rungemba au vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
Maafisa Maendeleo ya Jamii Wasaidizi watapangwa katika ngazi ya kijiji/kata. Wakiwa huko watafanya kazi zifuatazo
• Kuratibu shughuli zote za Maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
• Kuraghibisha jamii kuanzia ngazi ya familia katika kubuni, kupanga, kutekeleza , kusimamia na kutathmini mipanga na/au miradi yao ya maendeleo
• Kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za matukio mbalimbali kama vifo, milipuko ya magonjwa, masoko, uzalishaji mali, vyakula, ajira na unyanyasaji wa kijinsia
• Kukusanya, kuchambua na kuweka takwimu zinazozingatia jinsia zitakazowezesha jamii kupanga mipango yao
• Kuhamasisha jamii kuondokana na mila/desturi potofu na kuwa na mtazamo wa kupenda mabadiliko
• Kuhamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote yaambatanishwa na nakala za cheti cha kuhitimu taaluma , nakala ya cheti cha kidato cha Nne/sita, maelezo binafsi yanayojitoshereza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu na picha mbili (Passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na kidato cha Nne/Sita ni lazima vithibitishwe na hakimu au wakili anayetambulika na serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
• Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 30/07/2015
Afisa Maendeleo Ya Jamii Msaidizi - Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Reviewed by Unknown
on
4:19:00 AM
Rating: