Majukumu.
Kutafuta kumbukumbujmajalada yanayohitajiwa na wasomaji wanaohusika.
Kuweka majalada katika makundi.
Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka, n.k) katika majalada. .
Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka.
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
Awe amehitimu Elirnu ya Kidato Nne (IV) au Sita (VI)
Awe amehitimu rnafunzo ya Utunzaji, wa
Kumbukumbu angalau katika ngazi ya Cheti
katika mojawapo ya fani ya Masjala.
Ngazi ya Mshahara: TGS B

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Vigezo na Masharti ya Jumla kwa Waombaji:
Mwombaji awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nsie] sita, Maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size)
za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
Vyeti vyote vya Taaluma na Kidato cha Nne/ Sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali.
Aidha atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za Kisheria na mamlaka
zinazohusika.
Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashughu1ikiwa.
Watumishi ambao wa1ikwisha kuajiriwa hapo awali Serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafasi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye Payroll
ya Serikali.
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi
yatakayowasilishwakwa mkono au barua pepe
hayatafanyiwa kazi:
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani
ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
S.L.P. 01•
MASUMBWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/07/2015, Saa 9:30
Alasir.
Abdallah l. Mfaume
Mkurugeozi Mtendaji (W)
MBOGWE

Mtunza Kumbukumbu Msaidizi
Reviewed by Unknown
on
5:43:00 AM
Rating: