JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU,
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO.
Kumb.Na. HWR.S.20/28/VoI.37
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji we Halmashauri ya Wilaya ya Rombo anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 14.
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 14
MAJUKUMU YA KAZI.
Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
Kusimamio ulinzi na usalama wa Raia na mali zao; Kuwa
Mlinzi wa Amani na Msimomizi wa Utawala Bora katiko Kijiji.
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa Mikutano na Kamati ya Halmashauri ya Kijiji.
Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu.
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati yo kuondoa njaa, umasikini no kuongeza uzolishaji moli.
Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
Mwenyekiti wa kikao cha wataalamu waliopo katika Kijiji.
Kupokea, kusimomia no kutatue malalomiko no migogoro yo wananchi.
Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kijiji: na
Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
SIFA ZA MWOMBAJI.
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu rnofunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuotazo:- Utawalo, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi we Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo
cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali yaani TGS.B kwa mwezi
NB: MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI.
Waombaji wote wawe ni Raia we Tanzania no wenye umri usiozidi miako 45.
Waombaji ornbco toyeri ni wotumishi we Umma no wamejipatia sife katika Kada tofauti no walizonazo wapitishie barua zote za maombi yo nafasi za kazi kwa waajiri wote na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha; kutozingatia hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
Waombaji waambotishe moelezo binafsi yonayojitoshelezo {Detailed C. V} yenye anuani no nambo yo simu zo kuaminika /pamoja no majina yo wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
Maombi yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo , vyeti vya kidato cha nne au kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya kuhitimu mojonzo mbalimbali kwa kuzingatia slfo za kazi husika.
Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekono wa kudondoka au kupotea.
Astashahada/Stashahada/Shahada.
Cheti cha Mtihani wa kidato cha IV na au VI.
Cheti cha Kompyuta.
Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe kwa nyuma
Testimonials "Provisional Results"" Statement of Results; hati ya matakea ya kidato cho nne na sita (Form IV and Form VI results slips) Havitakubaliwa.
Waombaji waliostaafishwa kotiko Utumishi wa Umma
hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha
Katibu Mkuu Kiongozi.
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika
watachukuwali hatua za kisheria.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 24/07/2015.
Uwasilishaji wa barua kwa Mkono katika Ofisi za Halmashauri ya Wilayo ya Rombo HAURUHUSIWI.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya kishwahili au kiingereza yotumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya
S.l.P.52.
Mkuu Rombo.
Au
District Executive Director
Rombo District Council,
P.O.Box. 52,
Mkuu Rombo
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya
S.l.P.52.
Mkuu Rombo.
Au
District Executive Director
Rombo District Council,
P.O.Box. 52,
Mkuu Rombo
Mtendaji wa Kijiji
Reviewed by Unknown
on
5:43:00 AM
Rating: