Majukumu:
Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
Kusimamia U1inzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa M1inzi wa Amani na Msimamizi wa
Utawala Bora katika kijiji.
Kuratibu na kusimamia upangaji wa uteke1ezajiwa Mipango ya maende1eo ya kijiji
Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;

Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za Nyaraka za kijiji.
Mwombaji awe na Sifa zifuatazo:-
Awe amehitimu Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:• Utawala,
Sheria, Elirnu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa
kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa
na Serikali.
Ngazi ya Mshahara: TGS B

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Vigezo na Masharti ya Jumla kwa Waombaji:
Mwombaji awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nsie] sita, Maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size)
za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
Vyeti vyote vya Taaluma na Kidato cha Nne/ Sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali.
Aidha atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za Kisheria na mamlaka
zinazohusika.
Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashughu1ikiwa.
Watumishi ambao wa1ikwisha kuajiriwa hapo awali Serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafasi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye Payroll
ya Serikali.
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi
yatakayowasilishwakwa mkono au barua pepe
hayatafanyiwa kazi:
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani
ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
S.L.P. 01
MASUMBWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/07/2015, Saa 9:30
Alasin.
Abdallah l. Mfaume
Mkurugeozi Mtendaji (W)
MBOGWE

Mtendaji Wa Kijiji
Reviewed by Unknown
on
5:43:00 AM
Rating: