Majukumu:
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za akwaida.
Kusaidia kupokea wageni na kuwasai1i shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughu1ikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari na Mkuu wake na ratiba zingine za kazi
zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi na kumuarifu kuhusus taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao
Kutekeleza kazizozote atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
Awe amehitimu Kidato cha Nne (IV) au Sita(VI)
Awe amahitimu mafunzo ya Uhazili kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma au Chuo chochote kinachojarnbuliwa na Serikali.
Awe amefaulu somo la Hati Mkato na mwenye uwezo wa kuchapa maneno themanini kwa dakika moja na
Awe amesomamasomo ya computer,
Ngazi ya Mshahara: TGS B

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Vigezo na Masharti ya Jumla kwa Waombaji:
Mwombaji awe raia wa Tanzania
Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nsie] sita, Maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size)
za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
Vyeti vyote vya Taaluma na Kidato cha Nne/ Sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali.
Aidha atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za Kisheria na mamlaka
zinazohusika.
Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashughu1ikiwa.
Watumishi ambao wa1ikwisha kuajiriwa hapo awali Serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafasi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye Payroll
ya Serikali.
Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi
yatakayowasilishwakwa mkono au barua pepe
hayatafanyiwa kazi:

Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani
ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
S.L.P. 01•
MASUMBWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/07/2015, Saa 9:30
Alasiri.
Abdallah l. Mfaume
Mkurugeozi Mtendaji (W)
MBOGWE
Katibu Mahsusi
Reviewed by Unknown
on
5:46:00 AM
Rating: