Mkrurgenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida anawatangazia wanachi wote wenye sifa, kuomba nafasi za kazi zifuatazo
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II- (NAFASI 29)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha nn (iv) au sita (vi)
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii, na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma, au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
2. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
3. Mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji
4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji
5. Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
6. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji
7. Kuandaa taarifa za utendaji katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza uzalishaji mali
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni TGS B kwa mwezi
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
• Waombaji wote waambatanishe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha ndogo mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote waambatanishe na maelezo binafsi yaliyojitosheleza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu
• Waombaji walio nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka baraza la mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (orginal Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31/07/2015 saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Source; Mwananchi 17th July 2015

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II- (NAFASI 29)
Reviewed by Unknown
on
11:30:00 AM
Rating: