HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkrurgenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida anawatangazia wanachi wote wenye sifa, kuomba nafasi za kazi zifuatazo
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II (NAFASI 2)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha nn (iv) au sita (vi) na cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/majalada yanayohitajiwa na wasomaji
2. Kuthibitisha upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu au nyaraka
3. Kuweka kumbukumbu (barua/nyaraka) katika majalada
4. Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinet) katika masjala au vyumba vya kuhifadhia nyaraka
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni TGS B kwa mwezi

APPLICATION INSTRUCTIONS:
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
• Waombaji wote waambatanishe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha ndogo mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote waambatanishe na maelezo binafsi yaliyojitosheleza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu
• Waombaji walio nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka baraza la mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (orginal Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo

MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31/07/2015 saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Msaidizi wa Kumbukumbu - Halmashauri ya Wilaya ya Singida
Reviewed by Unknown
on
4:22:00 AM
Rating: