Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kahama anawatangazia wafuatao wafike Halmashauri ya Mji Kahama kwenye usaili kwa tarehe zilizoainishwa chini ya kada husika . wakati wa Usaili mambo yafuatayo lazima yazingatiwe :
Usaili utaanza saa 2 na nusu asubuhi tarehe husika kwa kuanzia na mtihani wa mchujo na baadae mahojiano .
wahusika wote ni lazia wafike na vyeti vyao halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa ) original certificates )
Barua za utambulisho hazitapokelewa .
Majina yako kwenye gazeti la mwananchi - Jumatatu , Julai 20 , 2015 .

Kuitwa Kwenye Usaili - Halmashauri ya Mji Kahama - 7/20/2015
Reviewed by Unknown
on
4:57:00 AM
Rating: