Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kwa niaba ya Bodi ya Ajira ya Halmashauri anawatangazia wananchi wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi za kazi kama ifuatavyo;
DEREVA DARAJA II (NAFASI 3)
NGAZI YA MSHAHARA: TGS A
DEREVA DARAJA II (NAFASI 3)
NGAZI YA MSHAHARA: TGS A
SIFA ZA KUINGILIA
Kuajiriwa wenye Chef cha Mtihani wa Kidato cha IV , wenye Leseni daraja C ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi daraja la 11 (Trade Test 11)

KAZI ZA KUFANYA
i) Kuendesha magari ya abiria na malori
ii} Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo .
iii} Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
iv} Kutunza na kuandika daftari la safari 'Log book" kwa safari zote.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA UJUMLA KWA WAOMBAJI WOTE:
- Awe raia wa Tanzania.
-Awe na umri wa miaka 18-45
- Awe hajawahi kufukuzwa kazi , kupunguzwa , kuachishwa au kustaafishwa kazi katika utumishi wa umma
- Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote apa wilayani kwa muda wa miaka mitatu (3) bila kuomba uhamiisho.
-Walioajiriwa wapitishemaombi yao kwa waajiri wao.
-Barua zote za maombi ziandikwe na Mwombaji kwa mkono wake mwenyewe zikiambatana na vivuli "photocopy" vya vyeti pamoja na picha mbili(2) za "passport size" zioneshe namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano kisha zitumwe kwa: .
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S. L. P 60,
MANYONI.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 31.07.2015
Wale ambao wataitwa kwenye usaili, wataandikiwa baruo na majina yao yatatolewa kwenye magazeti pia yatabandikwa kwenye mbao za matangazo wilayani na watajulishwa siku ya usaili.

Dereva: Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni
Reviewed by Unknown
on
1:26:00 PM
Rating: