AJIRA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO - NOV 2014

 Secretary, Admin Support III( x 3)
Location > Morogoro 
(NGAZI YA MSHAHARA TGS B,)

Sifa za Mwombaji
Kuajiriwa waliohitimu Kidato cha Nne N{VI
waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu
Mtihani wa hatua ya tatu.
Awe wamefaulu Hatimkato ya Kiswahili na
Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
Awe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo
chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata
Cheti katika Programu za Window, Microsoft Office,
Internet, E-Mail na Publisher.

Kazi za Katibu Mahsusi Daraja III
(i) Kuchapa barua, Taarifa na Nyaraka za kawaida
(ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida
zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza
kushughulikiwa.
(iii) Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio,
miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu
wake na ratiba ya kazi nyingine zilizopangwa
kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na
kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
(iv) Kusaidia kutafuta na kumpa Mkuu wake majalada,
nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika
shughuli za kazi hapo ofisini.
(v) Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa
kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu
taarifa zozote anazokuwa na wasaidizi hao.
(vi) Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maafisa
walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
(vii) Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa
na msimamizi wake wa kaz


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe amepata mafunzo ya Kompyuta
kutoka Chuo kinachotambullwa na Serikali na
kupata Cheti katika Programu za Windows, Micro
soft Office, Internet, E-Mail, Publisher na Power
Point kwa Makatibu Mahususi na Wasaidizl wa
Kumbukumbu.
Awe na Umrl kati ya mlaka 18 - 45
Ajue Kusoma, Kuandika na Kuongea kwa ufasaha
lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Muombajl aambatanlshe nakala ya Oleti cha
Kidato cha Nne N/VI, Chetl cha Mafunzo husika,
pamoja na barua ya maombi.
(il) Maombl vote yaambatane na Vyeti vya Taaluma,
maelezo binafsi (CV), nakala za Vyetl vya Kldato
cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliotika
kiwango hicho, vyeti vya kumaliza masomo
(Uving Certiticate) na Vyeti vya kuhitimu mafunzo
mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
(iii) Waombaji wote waambatanishe nakala ya Oleti
cha kuzallwa.
(iv) Waombaji waambatanishe picha moja Passport
size iandikwe jina nyuma ibandikwe kwenye barua
ya maombl.
(v) Hati ya matokeo ya Kldato cha NNe na Sita
(Statement of result) HAVlTAKUBAUKA. .
(iv) Waombajl kazi ambao tayari ni waajirlwa katlka
nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa
Umma wasiombe hii ni kwa mujibu wa waraka wa
Katibu Mkuu Utumishi CAC.45/257/01/D/140 wa
tarehe 30 Novemba, 2010

Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P 166,
Morogoro


Philemon M. Magesa,
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa,
Morogoro
Record Management Assistant II ( X 5)
Location > Morogoro


(NGAZI YA MSHAHARA TGS B,)
Sifa za Mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato chaiIV/VI wenye cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo
ya fani za Afya, Masijala, mahakama na Ardhi

Kazi na Majukumu ya Msaidizi wa
Kumbukumbu Daraja II
(i) Kutafuta kumbukumbu/Nyaraka/Mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
(ii) Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ Nyaraka
(iii) Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika makundi kulingana
na somo husika( classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
(iv) Kuweka/Kupanga kumbukumbu/Nyaraka katika reki {file ranks/cabinet katika Masijala/Vyumba vya


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo kinachotambullwa na Serikali na
kupata Cheti katika Programu za Windows, Micro soft Office, Internet, E-Mail, Publisher na Power Point kwa Makatibu Mahususi na Wasaidizl wa Kumbukumbu.
Awe na Umrl kati ya mlaka 18 - 45
Ajue Kusoma, Kuandika na Kuongea kwa ufasaha
lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Muombajl aambatanishe nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne N/VI, Cheti cha Mafunzo husika, pamoja na barua ya maombi.
(ii) Maombl vote yaambatane na Vyeti vya Taaluma, maelezo binafsi (CV), nakala za Vyetl vya Kldato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliotika kiwango hicho, vyeti vya kumaliza masomo
(Uving Certiticate) na Vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
(iii) Waombaji wote waambatanishe nakala ya Cheti cha kuzaliwa.
(iv) Waombaji waambatanishe picha moja Passport
size iandikwe jina nyuma ibandikwe kwenye barua
ya maombl.
(v) Hati ya matokeo ya Kldato cha NNe na Sita
(Statement of result) HAVlTAKUBAUKA. .
(iv) Waombajl kazi ambao tayari ni waajirlwa katlka
nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa
Umma wasiombe hii ni kwa mujibu wa waraka wa
Katibu Mkuu Utumishi CAC.45/257/01/D/140 wa
tarehe 30 Novemba, 2010.
(vi) Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe
(vii) Maombi haya yatumwe kwa:-

Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P 166,
Morogoro

 Mtendaji wa Mtaa III( X 20)
Location > Morogoro 

(NGAZI YA MSHAHARA TGS B,)

Sifa za Mwombaji
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha nne (iv) au Sita (vi)
Aliyehitimu mafunzo ya Asta:shahada/Cheti katika moja ya rnoja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria,
Elimu ya jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi na Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi na Majukumu ya Mtendaji wa Mtaa
Daraja la III
(i) Atakuwa katibu wa Kamati ya Mtaa
(ii) Mtendaji Mkuu wa shughuli za Mtaa
(iii). Mratibu wa utekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
(iv) Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
(v) Mshauri wa Kamati ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa
(vi) Msimamizi wa utekelezaji wa sheria ndogondogo pamoja na sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa
(vii) Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa
(viii) Kusirnamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi
wote
(xi) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa
Mtaa
(x) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata
(xi) Atafanya kazi nyingine atakazopangiwa na
msimamizi wake.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo kinachotambullwa na Serikali na
kupata Cheti katika Programu za Windows, Micro soft Office, Internet, E-Mail, Publisher na Power Point kwa Makatibu Mahususi na Wasaidizi wa Kumbukumbu.
Awe na Umrl kati ya mlaka 18 - 45
Ajue Kusoma, Kuandika na Kuongea kwa ufasaha lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Muombajl aambatanlshe nakala ya cheti cha Kidato cha Nne N/VI, Chetl cha Mafunzo husika,
pamoja na barua ya maombi.
(il) Maombl vote yaambatane na Vyeti vya Taaluma, maelezo binafsi (CV), nakala za Vyetl vya Kldato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliotika kiwango hicho, vyeti vya kumaliza masomo (Uving Certiticate) na Vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
(iii) Waombaji wote waambatanishe nakala ya Oleti cha kuzaliwa.
(iv) Waombaji waambatanishe picha moja Passport
size iandikwe jina nyuma ibandikwe kwenye barua ya maombi.
(v) Hati ya matokeo ya Kldato cha NNe na Sita (Statement of result) HAVlTAKUBAUKA. .
(iv) Waombajl kazi ambao tayari ni waajirlwa katlka nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa
Umma wasiombe hii ni kwa mujibu wa waraka wa Katibu Mkuu Utumishi CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

Maombi haya yatumwe kwa:-
Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P 166,
Morogoro

Askari Wasaidizi/Auxiuary Policy (x 5)
Location > Morogoro

(NGAZI YA MSHAHARA) =PPFW 1

Sifa za Mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga
Taifa , Mgambo na waliofuzu mafunzo kutoka Chuo cha Polisi wenye cheti cha Kidato cha Nne N/VI
Asiwe ametuhumiwa na makosa ya jinai na kutiwa hatiani
Awe na mwenendo bora na tabia njema

Majukumu/kazi
Kuhakikisha kwamba mali yote inayotolewa langoni
(nje ya ofisi) ina hati ya idhini.
Kuhakikisha kuwa mall vote inayoingizwa langoni inazo hati za uhalali wake.
Kulinda usalarna wa majengo, otisi na mali za ofisi mchana na usiku.
Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungawa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.
Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia katika eneo la ofisi wana idhini ya kufanya hivyo.
Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile, moto, mafuriko
n.k na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika kama vile, Polisi na Zimamoto.
Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahala pa kazi.
Kusaidla kuondoa wafanyabiashara wanaopanga bidhaa barabarani.
Kutunza usafi wa mji kwa kuhakikisha watu hawatupi ovyo taka, hawapangi biashara maeneo
ambayo hayaruhuslwi.
Kusimamia operation mbalimball zinazoendeshwa na Manispaa kwa mujlbu wa sheria za Mipango miji
na Usafi wa Mazingira
Kusimamia ulinzi na Usalama wa mali na rasilimali nyingine za Manispaa

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo kinachotambuilwa na Serikali na
kupata Cheti katika Programu za Windows, Micro soft Office, Internet, E-Mail, Publisher na Power Point kwa Makatibu Mahususi na Wasaidizi wa Kumbukumbu.
Awe na Umrl kati ya mlaka 18 - 45
Ajue Kusoma, Kuandika na Kuongea kwa ufasaha lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Muombajl aambatanlshe nakala ya cheti cha Kidato cha Nne IV/VI, Chetl cha Mafunzo husika,
pamoja na barua ya maombi.
MaombI Yote yaambatane na Vyeti vya Taaluma, maelezo binafsi (CV), nakala za Vyetl vya Kldato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliotika kiwango hicho, vyeti vya kumaliza masomo (Uving Certiticate) na Vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
Waombaji wote waambatanishe nakala ya Cheti cha kuzallwa.
Waombaji waambatanishe picha moja Passport size iandikwe jina nyuma ibandikwe kwenye barua
ya maombi.
Hati ya matokeo ya Kldato cha NNe na Sita (Statement of result) HAVlTAKUBAUKA. .
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa
Umma wasiombe hii ni kwa mujibu wa waraka wa Katibu Mkuu Utumishi CAC.45/257/01/D/140 wa
tarehe 30 Novemba, 2010.
Maombi haya yatumwe kwa:-
Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P 166,
Morogoro




AJIRA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO - NOV 2014 AJIRA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO - NOV 2014 Reviewed by Unknown on 2:09:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Education Agricultural Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam Scholarships African Development Bank Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Zanzibar Environmental Catholic Relief Services Dar es salaam USAID Operations FHI 360 UNDP Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF Morogoro Utumishi AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Driver - Logistics Path International Mwanza African Union Tigo Jobs Marketing Mbeya Teaching Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Driver Buzwagi Gold Mine Jhpiego COMESA FINCA JOBS International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Nairobi Coca-Cola Handicap International Pact International Rio Tinto Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD Agriculture Jobs Dodoma Iringa One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa ActionAid Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Safety and Security Shinyanga Jobs Tanzania Breweries Pathfinder International World Health Organization KPMG TANROADS Tanzania Electric Supply Company British Council Futures Group KCB BANK UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays GEITA GOLD MINING TANESCO Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GOAL Mombasa Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor SNV International Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes TCRA Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative Kenyatta University Kigoma Mzumbe University NSSF National Social Security Fund Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital Nepad Partners in Health Room to Read SUMATRA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kagera Librarian MENTOR Initiative Trainee USAILI - INTERVIEW Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TANAPA TASAF Tanzania Social Action Fund Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Moshi NMB BANK Resolute Tanzania Singida Uganda Uganda National Roads Authority University of Dar es salaam University of Dodoma British High Commission ChildFund EWURA FilmAid International NECTA TPDC Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society MADEREVA Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Ruvuma Search for Common Ground Songea TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University NBC BANK National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Njombe Nuru International Nzoia sugar Company RTI International SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Udhamini wa Masomo Western Union AIR TANZANIA Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY SONGWE STAMIGOLD Stores TACAIDS TARURA TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BENKI YA POSTA - TPB BANK BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University ECOBANK ETDCO Electrical Transmission and Distribution Construction and Maintenance Company European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT INSURANCE JOBS - BIMA ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kilombero Sugar Company Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSD MEDICAL STORES DEPARTMENT MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières NIDA National Identification Authority Narok University College OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC PEPSI POLICE - POLISI Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNESCO UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.