8.0
MKUTUBI DARAJA LA II – NAFASI 1
8.1 MAJUKUMU YA KAZI
·
Kuratibu shughuli za ukuzaji wa utamaduni
kitaifa.
·
Kuratibu na kusimamia shughuli za ukaguzi na
udhibiti maonyesho ya filamu na video katika ngazi ya taifa.
·
Kushauri
juu ya mitaala ya mafunzo na elimu ya fani za utamaduni.
·
Kusimamia
usajili wa vikundi na vyama vya fani za utamaduni.
·
Kushauri juu ya ujenzi wa majukwaa na majumba
ya utamaduni yenye hadhi ya kitaifa.
·
Kuratibu
shughuli za utafiti wa mila na desturi nchini.
·
Kusimamia na kuratibu ukuzaji wa matumizi
fasaha na sanifu ya Kiswahili nchini.
·
Kazi
nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa kituo.
8.2 SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza katika fani
ya ukutubi au sifa inayolingana na hiyo kutoka katika vyuo vikuu
vinavyotambuliwa na Serikali.
·
8.3 MSHAHARA
·
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali
yaani TGS D kwa mwezi.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye
anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya
kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe19 Agosti, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
Katibu,
|
AU
|
Secretary,
|
Sekretariati ya Ajira katika
|
Public Service Recruitment
| |
Utumishi wa Umma,
|
Secretariat,
| |
SLP.63100,
|
P.O.Box 63100
| |
Dar es Salaam.
|
Dar es Salaam.
|
MKUTUBI DARAJA LA II – NAFASI 1
Reviewed by Unknown
on
12:25:00 PM
Rating: