• Umri usiozidi miaka 40
• Uzoefu usiopungua miaka 3
• Ujuzi wa kuendesha gari za mafuta ( tankers)
• Leseni inayotumika
• Wadhamini wawili pamoja na barua ya serikali ya mtaa unaoishi
• Picha mbili za rangi ( passport size)
Application Instructions:
Mwamboji tuma barua kwa
Meneja Mwajiri
Primefuels Tanzania Ltd
P O BOX 2873
Au barua pepe kwa hr.dar@primefuels.com na admin.dar@primefuels.com
Au unaweza kuleta moja kwa moja kwenye ofisi za Primefuels Kipawa Dar es Salaam
Drivers Jobs Primefuels Tanzania Ltd
Reviewed by Unknown
on
12:25:00 AM
Rating:
No comments: