TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI COTWU

CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI TANZANIA [COTWU (T)]
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania kinatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:-

KATIBU MSAIDIZI WA KANDA

NAFASI2

SIFA:
• Awe na Elimu ya Kiwango cha Shahada au Stashahada katika Sheria za kazi Industrial Relations
• Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
• Awe na uwezo wa kuongea kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha
• Awe na uzoefu wa kuingiza wanachama, kufunga Mikataba ya Hali Bora, kutetea na kuunganisha wanachama
• Awe na uwezo wa kufanyakazi katika timu
• Awe na umri kati ya miaka 25-45
• Awe tayari kufanya kazi popote Tanzania
• Awe raia wa Tanzania
• Mshahara majadiliano

 Katibu Wa Kanda Nafasi 1

SIFA
• Awe na Elimu kiwango cha Shahada au stashahada katika "Industrial Relations" Sheria za

Kazi
• Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
• Awe na uwezo wa kuongea kiingereza na Kiswahili vizuri
• Awe na uzoefu wa kuingiza wanachama, kujadili na kufunga Mikataba ya Hali Bora za Kazi kutetea na kuunganisha wanachama.
• Awe na uwezo wa kufanya kazi katika timu .
• Awe na umri kati ya miaka 25-45
• Awe tayari kufanya kazi mahala popote nchini Tanzania
• Awe raia wa Tanzania
• Mshahara majadiliano

3. Mhasibu
NAFASI1
SIFA:
• Awe na Master of Accounting and Finance au
• Certificate of Completion of the Certified Public accountant, CPA"
• Awe na uwezo wa kuandaa Taarifa za Fedha za Chama
• Awe na uwezo wa kubuni mikakati ya kukuza na kuongeza mapato ya Chama
• Awe na uwezo wa kuandaa Bajeti ya Chama ya mwaka
• Awe na uwezo wa kusimamia Kanuni na Taratibu za
• Fedha za Chama kwa mujibu wa Katiba ya Chama
• Awe na uwezo wa kusimamia manunuzi na malipo yote ndani ya Chama
• Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta



APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa Kaimu Katibu Mkuu kupitia anuani ifuatayo:-
Kaimu Katibu Mkuu,
COTWU (T)-Makao Makuu,
S.L.P 13920,
DAR ES SALAAM.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI COTWU TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI COTWU Reviewed by Unknown on 5:58:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.