waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 20
Aprili, 2016 hadi tarehe 10 Mei, 2016 kuwa mchakato wa kuwapangia
vituo vya kazi umekamilishwa.
2. Orodha ya majina ya waliopangiwa vituo vya kazi ni kama
yanavyoonekana katika tangazo hili. Katika orodha ya majina haya pia
inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye Kanzidata (Data
base) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
3. Aidha, watumishi wote waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa
kuripoti katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa katika muda ambao
umeainishwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na
vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne
na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao za
posta.
4. Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
KUITWA KAZINI
TANGAZO LA KUITWA KAZINI - Placements - 01 Juni, 2016
Reviewed by Unknown
on
1:13:00 PM
Rating: