******TANGAZO LA KAZI******
Kampuni yetu mpya mkoani Mbeya itwaayo NEW VISION MEDIA, hivi karibuni tunategemea kuanzisha gazeti la mkoa wa Mbeya litakalokuwa limejikita zaidi kuandika habari za ndani ya mkoa wa Mbeya na Wilaya zake zote. Ni gazeti la Mbeya kwa ajili ya watu wa Mbeya,hivyo litasambazwa ndani kwenye maeneo yetu yote ya wilaya zetu zote za mkoa wa Mbeya.
Tumebakiza nafasi chache za kazi,hivyo tunapenda kuutangazia Umma wa Watanzania (wenye sifa) nafasi zifuatazo za Kazi:

1. MHARIRI (nafasi 1).
Sifa:
-Awe na Shahada (digrii) ya uandishi wa Habari toka chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
-Awe kwenye kazi ya Uandishi wa Habari kwa mfululizo kwa kipindi kisichopungua miaka mitano (5).
-Awe na uzoefu wa kazi ya uhariri wa magazeti kwa angalau muda wa miaka miwili (2).
-Awe na uelewa mzuri wa msuala ya uongozi.
-Asiwe na rekodi ya utendaji mbaya wa kazi kutoka kwa mwajiri wake wa awali.
-Akiwa ni mkazi wa Mbeya itakuwa ni sifa/faida ya nyongeza.

2. MENEJA MASOKO (nafasi 1).
Sifa:
-Awe na shahada au Stashahada ya Juu ya Utawala wa Biashara.
-Awe na uzoefu wa shughuli za usimamizi wa masoko kwa kipindi kisochopungua miaka mitatu (3).
-Awe na uelewa wa kutosha wa kazi za kihasibu.
-Asiwe na rekodi mbaya ya utendaji kutoka kwa mwajiri wa awali.
-Akiwa na uelewa wa kwenye tasnia ya habari itakuwa faida ya nyongeza.
-Akiwa ni mkaazi wa Mbeya itakuwa ni sifa/faida ya nyongeza.

3.WAANDISHI WA HABARI (nafasi 4).
Sifa:
-Awe na angalau diploma ya Uandishi wa Habari toka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
-Awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka miwili (2).
-Asiwe na rekodi mbaya ya utendaji toka kwa mwajiri wake wa awali.
-Akiwa ni mkazi wa Mbeya itakuwa ni sifa/faida ya ziada.

Kwa yeyote mwenye sifa unaweza kututumia maombi yako kwa kuandika barua kwa mkono ukiambatanisha na nakala za vyeti vyako na picha mbili (pasport-size),kisha tuma kwa anwani ifuatayo:
New Vision Media,
S.L.P 6464,
MBEYA.
Pia waweza kutuma kwa njia ya barua-pepe (e-mail) kwenda:
lusako79@yahoo.com

*Mwisho wa kupokea maombi ni Ijumaa tarehe 17/07/2015 saa 6:30 mchana.
NB: Kwa maelekezo zaidi waweza kuwasiliana na Meneja Mkuu (LUSAKO LUSAKO) kwa simu ifuatayo: 0713487048.
TANGAZO LA KAZI MKOA WA MBEYA - JULAI 2015
Reviewed by Unknown
on
10:27:00 AM
Rating: