viambatanisho kwenye maombi yao. Kutokuweka viambatanisho kunaweza
kusababisha mwombaji asichaguliwe kufanya mtihani wa RPL.
Viambatanisho vilivyotakiwa ni kama ifuatavyo;
1. Picha (Passport size)
2. Cheti cha kuzaliwa / kitambulisho cha mpiga kura / hati ya
kusafiria(Passport) (Mwombaji asiwe chini ya miaka 25)
3. Maelezo binafsi (Curriculum Vitae - CV)
4. Hati ya uthibitisho – Barua/Cheti inayothibitisha mwombaji ana uzoefu
katika eneo analotaka kufanyia mtihani wa RPL (Certificate of
achievement)
5. Nakala ya vyeti vya shule au mafunzo yeyote mwombaji amewahi
kuhudhuria (Copies of academic certificates)
6. Ushahidi mwingine wowote wa kazi alizowahi kushiriki mwombaji.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania inatoa tena fursa kwa waombaji waliopo
kwenye orodha kutuma viambatanisho vyao kuanzia Tarehe 6 hadi
15/07/2015 kwa njia ya POSTA/EMS/DHL kwa kutumia anuani ifuatayo;
Katibu Mtendaji
Tume ya vyuo vikuu Tanzania
S. L. P. 6562
Dar es Salaam
Pia kwa wale waombaji wanaoweza kuleta kwa mkono katika ofisi za TCU
wanaweza kufanya hivyo
Tangazo kwa Waombaji wa RPL
MAJINA YA WANAFUNZI-RPL WALIOKOSEA KUFANYA APPLICATION 2015/2016
Reviewed by Unknown
on
10:26:00 AM
Rating: