TANGAZO LA KUONGEZA MUDA WA
UDAHILI
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu
wananchi kuwa limeongeza muda wa kutuma maombi ya Mafunzo ya Astashahada,
Stashahada Stashahada ya juu na Shahada kwa awamu ya
pili hadi tarehe 2 Agosti 2015.
NB:
Mfumo utajifunga ifikapo tarehe tajwa hapo juu. Watu wote wenye
sifa za kujiunga na mafunzo haya wanaombwa kuitumia fursa hii muhimu kama
inavyoelekezwa kwenye tovuti ya Baraza:bofya hapa
Imetolewa na:
Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE)
20 Julai 2015
PUBLIC NOTICE
The National Council for Technical Education (NACTE) would like to
inform you that the deadline for application into Bachelor Degree programmes
through the Central Admission System (CAS), Ordinary Diploma Programmes through
NACTE Online Admission System (NOAS) has been extended to 2nd August
2015.
The extension will allow diploma graduates who have completed
their studies in the academic year 2014/2015 apply for various programmes.
NOTE:
The system will automatically close after the mentioned deadline.
All eligible applicants are therefore advised to use this opportunity to apply
for admission. Via council website click here
By
Executive Secretary
National Council for
Technical Education (NACTE)
20th July
2015
NACTE - TANGAZO LA KUONGEZA MUDA WA UDAHILI - JULAI 2015
Reviewed by Unknown
on
9:39:00 AM
Rating: