Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe.
Dereva Daraja la II Nafasi: 06
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
i. Awe amehitimu kidato cha Nne (IV)
ii. Awe amehitimu mafunzo ya udereva
iii. Awe na leseni daraja la “C” ya uendeshaji
Ngazi ya Mshahara: TGOS B
Vigezo na Masharti ya Jumla kwa waombaji:
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania
ii. Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
iii. Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, nakala ya cheti cha kidato cha nne/sita, maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyumba).
iv. Vyeti vyote vya Taaluma na kidato cha Nne /Sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serekali. Aidha atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za kisheria na mamlaka zinazohusika.
v. Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu,maombi yake hayatashughulikiwa.
vi. Watumishi ambao walikwisha kuajiriwa hapo awali serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafazi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye payroll ya Serikali.
vii. Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
viii. Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta , Maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
S.L.P 01
MASUMBWE.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23/07/2015, Saa 9.30 Alasiri
Dereva
Reviewed by Unknown
on
5:52:00 AM
Rating: