Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa hapa chini wa vyuo vya Elimu ya Juu na vya Ufundi Stadi.
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 11/11/2003 hadi tarehe 15/11/2013 saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni kila siku kwa taaluma na maeneo yafuatayo;
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 11/11/2003 hadi tarehe 15/11/2013 saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni kila siku kwa taaluma na maeneo yafuatayo;
Muhimu:
(i) Mwombaji afike kwenyeakiwa na nakala halisi pamoja na kivuli cha vyeti vyote vya masomo/Taaluma [Academic Transcript (s)/Certificate(s)] yaani kidato cha nne, sita ,Chuo na cheti cha kuzaliwa. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
(ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atalipia gharamaupimaji afya shilingi elfu kumi(10,000), usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili.
(iii) Kwa kuwa muda ni mchache anaekuja kwa usaili ajiandae baada ya usaili atakaechaguliwa atapelekwa katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi siku nne baada ya usaili kwisha yaani tarehe 19/11/2013.
Orodha ni kama ifuatavyo:
Orodha ya Graduate Diploma na mafundi waliochaguliwa kwenye usahili 2013.pdf |
KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI OCT 2013
Reviewed by Unknown
on
8:22:00 AM
Rating: