TANGAZO LA KAZI WANAHITAJIKA WATU 500

TANGAZO TANGAZO Uongozi wa UDA Management Agency Limited unatangaza kazi za Madereva 500 wenye leseni daraja "C" na uzoefu wa kuendesha mabasi ya abiria kwa miaka kuanzia 2 na kuendelea.Maombi yawasilishwe kwa Charles Nzilankoma -Operations Manager 0763 600 376 au kwa Cypirian Malekela 0754 266 029 kwa Usaili wa awali.

GONGA HAPA KUFUATILIA MATANGAZO YA KAZI KILA SIKU .
TANGAZO LA KAZI WANAHITAJIKA WATU 500 TANGAZO LA KAZI WANAHITAJIKA WATU 500 Reviewed by Unknown on 10:18:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.