TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University) anatarajia kuendesha usaili wa
mchujo (Aptitude Test) kwa waombaji wa kazi wa kada mbalimbali kama
inavyoonekana katika Tangazo hili. Usaili utafanyika Chuo Kikuu Ardhi siku ya
Jumanne tarehe 13/10/2015 kuanzia saa moja (1.00) asubuhi.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika kabla ya usaili kuanza.
2. Kuja na vitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi,
kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k.
3. Kuja na Vyeti Halisi (Original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemea na nafasi
ya mwombaji.
4. “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results” hati za matokeo za
kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
6. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili.
7. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhininishwa na Mamlaka husika (TCU & NECTA).
8. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
Wafuatao wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili huo:-
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ARDHI (ARU)
(Call for Interview)
TANGAZO LA USAILI - ARDHI UNIVERSITY - OCT , 2015
Reviewed by Unknown
on
1:46:00 AM
Rating: