HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkrurgenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida anawatangazia wanachi wote wenye sifa, kuomba nafasi za kazi zifuatazo
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II- (NAFASI 29)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha nn (iv) au sita (vi)
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii, na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma, au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
2. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
3. Mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji
4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji
5. Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
6. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji
7. Kuandaa taarifa za utendaji katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza uzalishaji mali
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni TGS B kwa mwezi
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
• Waombaji wote waambatanishe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha ndogo mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote waambatanishe na maelezo binafsi yaliyojitosheleza (detailed CV) yenye anuani na namba za simu
• Waombaji walio nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka baraza la mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (orginal Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31/07/2015 saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Source; Mwananchi 17th July 2015
==========

2. KATIBU MAHUSUSI III (NAFASI 3)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha nn (iv)
• Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu
• Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika 1
• Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher
KAZI NA MAJUKUMU
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
• Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
• Kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi na ratiba ya kazi nyingine
• Kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika

3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II (NAFASI 2)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha nn (iv) au sita (vi) na cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/majalada yanayohitajiwa na wasomaji
2. Kuthibitisha upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu au nyaraka
3. Kuweka kumbukumbu (barua/nyaraka) katika majalada
4. Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinet) katika masjala au vyumba vya kuhifadhia nyaraka

TANGAZO LA KAZI - HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA - Julai 2015
Reviewed by Unknown
on
11:24:00 AM
Rating: