Loading...

Dereva - Architects And Quantity Surveyors Registration Board


TANGAZO LA NAFASI VA KAZI

I. Dereva: (NAFASI 2-DAR ES SALAAM):
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi inakaribisha maombi ya kazi ya Udereva katika Ofisi yaBodl - Makao Makuu (OAR ES SALAAM).

SIFA ZA MUOMBAJI:

Muombaji anatakiwa kuwa na cheti cha kuhitimu kidato cha nne (CSE) awe na leseni ya udereva daraja"C"ya uendeshaji na uelewa rnzuri wa alama za barabarani pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopunqua miaka mitatu bila kusabisha ajali. Sambamba na hila Muombaji anatakiwa kuwa na cheti cha majarabio ya ufundi wa magari, daraja la III pamoja na 'cheti cha udereva mahiri daraja la pili kutokachuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). °
MAJUKUMU VA KAZI:
Kuendesha gari la shirika.
• Kutunza na kuandika daftari la safari" log- book" kwa safari zote. °
• Kufanya uchunguzi wa gari kabla ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
• Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari.
• Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote.
• Kutekeleza kazi nyingine yoyoye atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi.

MSHAHARA:
Kwa kuzingatia viwango vya mishahara ya Bodi.

MASHARTIKWA MUOMBAJI:
• Muombaji awe raiawa Tanzania.
• Muombaji awe na umri usiozidi miaka 35.
• Barua zote ziambatanishwe na vyeti husika na maelezo binafsi ya muombaji (CV).
• Barua zote ziwe na anwani na namba za simu za kuaminika.
• Majina, anwani na simu kamili ya wadhamini wawili.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo kabla ya tarehe 9 Juni 2016.
Msajili,
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi,
S. L. P. 72673, TEL: 2110292, Fax 2117535, TETEX
HOUSE PAMBA RD. 2ND FLOOR, DSM.
E-mail: info@aqrb.go.tz
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top