Loading...

Dereva - Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

MAELEKEZO YA JUMLA KWA WAOMBAJI:

1. Kila mwombaji awe na Wadhamini wawili wa kuaminika.

2. Kila mwombaji aambatanishe vivuli vya vyeti (copies) vya Shule na mafunzo ya
Taaluma husika.

3. Kila mwombaji aambatanishe picha mbili za ‘Passport size’.

4. Awe na umri usiozidi miaka 45 na awe Raia wa Tanzania.

5. Waombaji watakaokidhi sifa wataitwa kwenye Usaili.

6. Waombaji watakaoitwa kwenye Usaili watatakiwa waje na Vyeti halisi (Original
Certificate).

7. Barua zote ziwe na namba za kuaminika za simu za mkononi, fax, au Barua pepe ambazo ndizo zitatumika kutoa majibu kwa watakaochaguliwa kuja kwenye usaili.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni siku ya Jumatatu, tarehe 13/06/2016 saa 9:30 Alasiri.

Maombi yote yatumwe kwa :


Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti,
S.L.P. 176,
MUGUMU/SERENGETI.
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top