Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya yo Gairo

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri yo Wilaya yo Gairo anatangoza nafasi sita (6) za kazi Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati yo hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa kwenye Tangazo hili.

Nafasi ya Kazi:- msaidizi wa- ofisi (3)

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe noa Elimu ya Kidato cha Nne (IV)
Awe amefaulu vizuri katika masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati .
KAZI NA MAJUKUMU
Kufanya usafi wa ofisi no mazingira yo nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo. Kuchukua na kupeleka majolada na hati nyingine kwa Maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika. .
Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa. Kutayarisha chai ya ofisi.
Kupeleka mfuko wa peste-no kuchukua barua kutoka posta.
Kuhakikisha kwamba vifaa vinawekwa sehemu zinazostahili.
Kufungua milango no madirisha ya ofisi wakati wa asubuhi na kuyafunga jioni baada ya masaa ya kazi.
Kudurufu barua na machapisho kwenye mashine za kudurufia.
Kuweka katika majalada nakala za barua zilizochapwa.
Kutunza vifaa vya Ofisi na kutoa ripoti kila vinapokaribia kuisha.

Nafasi ya kazi:- Dereva Daraja La II (Nafasi 3)

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na Elimu yo Kidato cha Nne (IV).
Awe na Leseni daraja la "C".ya uendeshoii.
Awe no uzoefu wa kuendeshosmogori kwa muda usiopungua miaka mitatu bile kusababisha ajali.
Awe na cheti cha majaribio ya ~fundi Daraja la II.
KAZI NA MAJUKUMU
Kuendesho magari ya abiria na malori.
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katiko holi nzuri wakati wote na
kufanya uchunguzi wa gari kabla na baado yo safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
Kutunza na kuandika daftori 10 safari "Log - book" kwo safari zote.:

Ngazi ya Mshahara TGOS AUTARATIBU WA UOMBAJI
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kozi sehemu yoyote kwenye Halmashauri yo Wilaya ya Gairo.
Baruo za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Toaluma,
Chef cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport Size)
Barua za maombiziambatanishwe no moelezo binafsi ya mwombaji (CV).
Wciombaji wote wanatakiwa wdwe no urriri wa kucinzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45.
Waomboji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa kuja na vyeti halisi (Original Certificate).
Waombaji waliokidhi vigezo watalazimika kufanya usaili.
Waombaji waandike anuani zoo kwa usohihi no namba zao za simu.
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi Mtendoji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo
S.LP. 40,
GAIRO

Mwisho wa kupokea barua zo maoinbi ni tarehe 6/6/2016 saa 09:30 Alasiri.
Limetolewa na:-
Mbwana S. Magotta
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA, GAIRO
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya yo Gairo Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya yo Gairo Reviewed by Kazi Bongo on 8:09:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Agricultural Education Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam African Development Bank Scholarships Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Environmental Zanzibar Catholic Relief Services USAID Operations FHI 360 UNDP Dar es salaam Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Path International Morogoro Driver - Logistics Utumishi African Union Mwanza Marketing Tigo Jobs Mbeya Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers Teaching East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Buzwagi Gold Mine Driver COMESA FINCA JOBS Jhpiego International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Handicap International Pact International Rio Tinto Coca-Cola Nairobi Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa Iringa ActionAid Agriculture Jobs Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Dodoma Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Tanzania Breweries Pathfinder International Safety and Security Shinyanga Jobs World Health Organization KPMG British Council Futures Group Tanzania Electric Supply Company UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays KCB BANK Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GEITA GOLD MINING GOAL Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Mombasa TANROADS Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps TANESCO AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) SNV International Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative TCRA Kenyatta University Mzumbe University Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital NSSF National Social Security Fund Nepad Partners in Health Room to Read SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kigoma Librarian MENTOR Initiative SUMATRA Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kagera Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TASAF Tanzania Social Action Fund Trainee USAILI - INTERVIEW Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Resolute Tanzania Uganda Uganda National Roads Authority British High Commission ChildFund FilmAid International Moshi NECTA TANAPA Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University University of Dar es salaam University of Dodoma World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa EWURA Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma NMB BANK National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority TPDC Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Singida Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Search for Common Ground TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Nuru International Nzoia sugar Company RTI International Ruvuma SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Western Union Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company NBC BANK Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY STAMIGOLD Songea Stores TACAIDS TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) AIR TANZANIA ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières Narok University College Njombe OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TARURA TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.