KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III: - NAFASI - 2
SIFA ZA MWOMBAJI:
1. Mwombaji awe ame hitimu Kidato cha Nne (form IV) na kuhudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu. .
2 .Mwombaji awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiinqere za maneno
yasiyopunquo 100 kwa dakika moja na awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka Chuo
chochote kinanacho tambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows.
MIcrosoft Office Internet. E-mail naPublisher.
MAJUKUMU:
Kuchapa baru taarifa na nyaraka za kawaida.
Kupokea wageni kuwasaili shida zeo na kuwaelekeze ipasavyo
Kutunza taarifa/kumbukumbu za matokeo miadi , wageni , traehe za vikao, Safari za Mkuu
wake na ratiba ya kazi katika ofisi anayofanya kazi.
Kutafuta na kumpa Mkuu wake majalada /nyaraka zinazohitajika
uwa kiungo kati ya Mkuu wake na Maafisa wengine
Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya Ofisi ya Mkuu wake wa kazi
Kutunza vifaa vyote vilivyopo Ofisini kwake na Ofisi ya Mkuu wake wa kazi.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara za Serikali yaani TGS.B-1

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II: - NAFASI - 3
SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwomb aji awe amehitimu kidato cha Nne , mwenye cheti cha utunzaji Kumbukumbu katika fani ya Masijala
MAJUKUMU:
1. Kutafuta mafaili yanayohitajika na wasomaji.
2. KucJhibili upokeant. uandikishaji wa kumbukurn.bu/nyaraka ..
3. Kuchambua,kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na
somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya malumizi ya Ofisi.
4. KuwckCl/kupanga kumbukumbuznyaraka katika rcki (file racks!cabinels) katika masjala/vyumba
vya kuhifadhia kumbukumbu.
5. Kuweka kumbukumbu (barua. nvaraka nk) kalika mafaili.
6. Kuanclaa Iaturis! (index) na nyenzo nyingine za kurahlalehe upatikanaf wa kumbukumbu na taarifa.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara za Serikali yaani TGS.B-1
Dereva Daraja la II: - NAFASI - 1
SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwombaji awe na cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV wenye leseni darajaa la ‘C’ ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa mda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, mwenye cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II
MAJUKUMU:
1. Kuendesha Magari ya Malori .
2. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa
gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
3. Kufanya matengenezo madogo madoqo katika gari.
4. Kutunza na kuandika daftari la safari 'Log-book' kwa safari zote.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara za Serikali yaani TGOS-A
Afisa Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III- NAFASI - 4
SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwombaji awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehilimu mafunzo ya Astashahada/cheti
katika moja ya fani zrfuatazo:-
Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha. Maendeleo ya Jamii na Sayansi; ya
Sanaa kutoka Chuo cha Serikati za Mitaa Homboro au Dodoma au Chuo chochote
Kinacho tambuliwa na Serikali
MAJUKUMU:
1. Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
.2 Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na matatizao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamiil wa
Utawala Bora katika Kijiji.
3.Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
4.Katibu wa Mikutano na Kamati zote aa Halmashauri ya Kijiji. -
5 Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu
6.Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na mikakati ya kuondoa njaa umaskini na kuongeza uzanshajr rnau.
7.Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
8.Kusimamla, kukusanya na kuhifadhi Ie rrnbukumbu zote na Nyaraka za kijiji.
9.Mwenyekiti wa Kikao cha Watalaamu wauopo katika ki;lji
10.Kupoke na kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
11.Kusimamia utunqaji wa Sheria Ndogo za Kijiji na
12. Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara za Serikali yaani TGS.B
APPLICATION INSTRUCTIONS:
N.B. MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzarua na wenye umri usiozidi miaka 45
II. Waombaji wote waambanishe cheti cha kuzaliwa
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma wapitishie e barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiandilishe ipasavyo.
iv. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheteza (Detailed C.V.) yenye
anwani na namba za simu za kuaminika pamojaria majina ya wedharnlm (referees) watatu
wa kuaminika. "
v, Maombi yote yaambatane na vyeti vya taatuma, maelezo, nakala Zenye vyeti vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale walio fikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano we kudondoka au kupotea. - Picha moja Passport size ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
vii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 23 Oktoba 7-015
viii. Hati ya metokeo ya Kidato cna Nne na Sila (Statement of Result) bavuekubanke.
ix. Maombi yanaweza kuandlkwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA HANANG,
S.L.P.2,
KATESH - HANANG.

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wialya ya Hanang, Okt 1 2015
Reviewed by Unknown
on
8:11:00 AM
Rating: