Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe
22/08/2015 hadi tarehe 16/09/2015 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo
vya kazi umekamilishwa.
Orodha ya majina ya waliopangiwa vituo vya kazi ni kama yanavyoonekana
katika Tangazo hili. Katika orodha ya majina haya pia imejumuisha baadhi
ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada
mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi
kupatikana.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa katika
muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo vya kazi
wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato
cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao za
posta.
Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa
mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Kwa waombaji waliopangiwa kazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii, wanatakiwa kuripoti kwa pamoja tarehe 28/10/2015 katika Chuo
cha Utalii Tandika Dar es Salaam saa moja asubuhi. Barua zao za
kuwapangia kituo watazikuta huko. Wafike na vyeti vyao halisi (Original
Certificates) na picha nne za pasipoti saizi.
Kwa waombaji waliopangiwa kazi Wakala wa Misitu Tanzania (TFSA)
wanatakiwa kuripoti PR Hotel iliyopo mkabala na Uwanja wa Taifa, tarehe
12/10/2015 saa moja kamili asubuhi. Wafike na vyeti vyao halisi (Original
Certificates) na picha nne za pasipoti saizi. Barua zao za kuwapangia kituo
cha kazi watazikuta huko.
Kuitwa Kazini Octoba 2015 (Placements)

TANGAZO LA KUITWA KAZINI OKTOBA, 2015
Reviewed by Unknown
on
1:26:00 AM
Rating: