Kumb. Na EA.7/96/01/H/72 07 OKTOBA, 2015
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere University of Science and Technology,
anatarajia kuendesha usaili.
Wasailiwa wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa usaili
kuanza.
2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne,
sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada, pamoja na
TRANSCRIPT na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa
usaili
9. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth
Certificate)
10. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
11. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba
tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.
KUITWA KWENYE USAILI 15-19/10-MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
(Call for Interview)

CALL FOR INTERVIEW - 08/10/2015
Reviewed by Unknown
on
1:23:00 AM
Rating: