Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangaiza wananchi wote wa raia wa Tanzania wenye sifa mbalimbali kuoma nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.
MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI 6)
i. Sifa za Mwombaji
Awe amehitimu kidato cha nne na kufaul vizuri katika masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabari
ii. Majukumu yake
a. Kufanya usafi ofisi na mazingira ya njee na ndani
b. Kuchukua na kupeleka majadala na hati nyingine kwa Maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu husika
c. Kusamba barua za ofosi kama atakavyo elekezwa
d. Kutayarisha chai ya ofisi
e. Kupeleka na kuchukua barua posta
f. Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti zinapohitajika
g. Kufungua milango na madirisha wakati wa Asubuhi na jioni kuyafunga baada ya saa za kazi
iii. Ngazi ya mshahara TGOS A ambayo ni Tshs. 265,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA
Barua ziandikwe kwa mkono
Umri usizidi miaka 45
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, shule na Chuo
Pichna mbili (2) za rangi passport-size
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 22/01/2015 saa 9:30 alasiri

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
MSAIDIZI WA OFISI (X 6)
Reviewed by Unknown
on
11:34:00 AM
Rating: