Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangaiza wananchi wote wa raia wa Tanzania wenye sifa mbalimbali kuoma nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.
Mlinzi (x 16)
I. Sifa za mwombaji
Kuajiliwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya mgambo/polisi/JKT au Mafunzo ya Zimamoto kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali
II. Majukumu yake
a. Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi inayotolewa langoni )nje ya ofisi) ina hati na idhini
b. Kuhakikisha kuwa mali yote inayoingizwa mlangoni hati za uhalali wake
c. Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku
d. Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi
e. Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaingia katika eneo la ofisi wana idhini ya kufanya hivyo
f. Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n.k. na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika, kama vile Polisi na Zimamoto
g. Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi
III. Ngazi ya Mshahara TGOS A ambayo ni Tshs. 265,000/=
MASHARTI YA JUMLA
Barua ziandikwe kwa mkono
Umri usizidi miaka 45
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, shule na Chuo
Pichna mbili (2) za rangi passport-size
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 22/01/2015 saa 9:30 alasiri

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 108
Iringa
MLINZI (X 16)
Reviewed by Unknown
on
11:35:00 AM
Rating: