Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbeya anawatangazia nafasi za kaiz Watanzania wenye sifa za uwezo wa kujaza nafasi kama ifuatavyo
Katibu Mahsusi – x6
SIFA
Kuajiliwa Wahitimu wa Kidato cha IV walioudhulia mafunzo ya uhadhiri na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu. Wawe wamefaulu somo la Hitimisho ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutok chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft office, Internet and Publisher
MAJUKUMU
Katibu mahsusi daraja la III atapangiwa kazi kazika Typing Pool au chini ya katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu ya kitengo
i. Kuchapa barua, taarifa ya nyaraka za kawaida
ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
iii. Kusaidia utunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake wakati unaohitajika
iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote inachohitajika katika shughuli za kikazi hapo ofisin
v. Kusaidia kufikisha maelekezo kwa mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumharifu kuhusu taarifa zozote anzokuwa amepewa na wasaidizi hao
vi. Kusaidia kupokea majarada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
vii. Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msaidizi wake wa kazi
NGAZI YA MSHAHARA
Mshahara ni kwa mujibu wa viwango vya mshahara serikalini yaani TGS B (345,000 X 9,300 hadi 428,700) kwa mwezi na mwajiriwa katika kada hii ataanza na 345,000/= kwa mwezi

Dereva Daraja La II
SIFA ZA KUINGILIA MOJA KWA MOJA
Kuajiliwa wenye Cheti cha Mtihani wa kidato cha Nne (IV) wenye leseni daraja la “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye cheti cha Majaribio ya ufundi daraja la II
KAZI YA KUFANYA
i. Kuendesha magari ya abiria na malori
ii. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo
iii. Kufanya matengenezo madogomadogo katika gari
iv. Kutunza na kuandika daftari la safari “Log - book” kwa safari zote
Mshahara ni kwa mujibu wa viwango vya mishahara serikalini yaani TGOS A2 9271,200 X 6,200 hadi 370,400) kwa mwezi na mwajiliwa katika kada hii ataanza na 271,200/= kwa mwezi

Mchapa Hati II
SIFA
Kuajiliwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita waliofauru mtihani wa uhaziri hatua ya 2 kutoka chuo cha Watumishi wa Umma na ujuzi wa Kompyuta hatua ya I na II toka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
MAJUKUMU
i. Kuchapa taarifa za uhamini na Hati za faida
ii. Kuchapa Nyaraka na Hati za kumiliki ardhi
NGAZI YA MSHAHARA
Mshahara ni kwa mujibu wa viwango vya mshahara serikalini yaani TGS B (345,000 X 9,300 hadi 428,700) kwa mwezi na mwajiriwa katika kada hii ataanza na 345,000/= kwa mwezi
MASHARTI KWA UJUMLA
1. Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
2. Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai au kufungwa jela
3. Maombi yote yaambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza (Detailed CV)
4. Maombi yote yaambatanae na nakara za vyeti vya taaluma, vyeti vya elimu (IV - VI ), cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni (Passport size) na iandikwe jina nyuma)
5. Testimonials “Provisional Result” Statement or results” hati ya matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA
6. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TSU na NECTA)
7. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawataruhusiwa kuomba isipokuwa kama wanakibali cha katibu mkuu kiongozi
8. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 10 Februari 2015 saa 9:30 Alasiri
9. Maombi yaandikwe kwa mkono na mwombaji mwenewe na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo

APPLICATION INSTRUCTIONS:
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
S.L.P 599
MBEYA
Upendo Sanga
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
S.L.P 599
MBEYA
Upendo Sanga
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya - Jan 2015
Reviewed by Unknown
on
10:17:00 PM
Rating: