Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliofanya usaili tarehe 08-01-2015 kuwa wafuatao wamechaguliwa. Hivyo wanatakiwa kufika TBS tarehe 15.01.2015 ili kukamilisha taratibu za ajira.
Tafadhali bonyeza linki ifuatayo hapo chini ili uweze kuona orodha ya waliochaguliwa:
INTERVIEW RESULTS AT TBS - MATOKEO YA USAILI TBS - 1/15/2015
Reviewed by Unknown
on
12:21:00 AM
Rating: