AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU - JAN 2015

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kasulu kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu wa Utumishi anapenda kuwatangazia wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kama ifuatavyo: 

1.    AFISA MTENDAJI WA KIJIJI - NAFASI 16 
A.    MAJUKUMU 
i.    Afisa masuuli na Mtendaji wa Serikali ya Kijij 
ii.    Kusimamia ulinzi na usalama ya raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na usimamizi wa utawala bora 
iii.    Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji 
iv.    Katibu wa mikutano na kamati zote za halmashauri ya kijiji 
v.    Kutafasili na kusimamia sera, sharia na taratibu 
vi.    Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali 
vii.    Kiongozi wa wakuu wa vitengo katika vijiji, kusimaia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za vijiji 
viii.    Mwenyekiti wa vikao vya wataalamu waliopo katika vijiji 
ix.    Kupokea, kusikiliza, na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi 
x.    Atawajibika kwa mtendaji wa kata 

B.    SIFA
Elimu ya kidato cha nne au sita aliyehitimu mafunzo ya stashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo utawala, sharia, elimu ya jamii, usimaminzi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma na chuo chochote kinachotambuliwa na serikali 

C.    NGAZI YA MSHAHARA 
Kwa kuzingatia viwango vya seriklai ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi 

MASHARTI KWA JUMLA 
i.    Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania 
ii.    Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa 
iii.    Waombaji wote waambatanishe na maombi binafsi (CV) 
iv.    Waombaji wote waambatanishe picha 1 passport size ya hivi karibuni  na nakala ya (copy) ya vyeti halisi 
v.    Transcript, “Testimonial, Provision Result na statement of resurt havitakubaliwa 
vi.    Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18 
vii.    Maombi yataanza kupokelewa kuanzia tarehe 21/01/2015 hadi tarehe 03/02/2015 
viii.    Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta 

Oscar P. Simtengu 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji 
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 

MAOMBI YATUMWE KWA 
MKURUGENZI MTENDAJI (W) 
S.L.P 97 
KASULU 

Source: Daily News 22 January 2015
===========



HALMASHAURI YA KASULU 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kasulu kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu wa Utumishi anapenda kuwatangazia wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kama ifuatavyo: 


2.    KATIBU MAHSUSI III NAFASI 2 
A.    MAJUKUMU 
i.    Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida 
ii.    Kusaidia kupokea wageni na kuwasili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa 
iii.    Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, wageni, terehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi zinamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika 
iv.    Kusaidia na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini 
v.    Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote zinazokuwa amepewa na wasaidizi hao 
vi.    Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kukusanya kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika 
vii.    Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi 

B.    SIFA 
i.    Awe amehitimu Kidato cha IV kuhudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu 
ii.    Awe amefauli somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya computa kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali ma kupata cheti katika Programu za Windows, Microsoft Office, Internent, E-mail na Publishers 

C.    NGAZI YA MSHAHARA 
Kwa kuzingatia ngazi ya viwango vya serikali ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi 

MASHARTI KWA JUMLA 
i.    Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania 
ii.    Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa 
iii.    Waombaji wote waambatanishe na maombi binafsi (CV) 
iv.    Waombaji wote waambatanishe picha 1 passport size ya hivi karibuni  na nakala ya (copy) ya vyeti halisi 
v.    Transcript, “Testimonial, Provision Result na statement of resurt havitakubaliwa 
vi.    Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18 
vii.    Maombi yataanza kupokelewa kuanzia tarehe 21/01/2015 hadi tarehe 03/02/2015 
viii.    Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta 

Oscar P. Simtengu 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji 
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 

MAOMBI YATUMWE KWA 
MKURUGENZI MTENDAJI (W) 
S.L.P 97 
KASULU 


Source: Daily News 22 January 2015
===========


HALMASHAURI YA KASULU 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kasulu kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu wa Utumishi anapenda kuwatangazia wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kama ifuatavyo: 

3.    FUNDI SANIFU MSAIDIZI NAFASI 6 

A.    MAJUKUMU 
Watapangiwa kazi katka fani zao kutegemea cheo, ujezi, uzoefu na uwezo wao na utendaji mzuri wa kazi 

B.    SIFA 
Kuajiliwa waliomaliza kidato cha IV katika masomo ya sayansi na kufuzu mafunzo ya mwka mmoja katika moja ya fani za ufundi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali 
Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya II kutoka chuo cha Ufundi katika mojawapo ya fani ya Ufundi 

C.    NGAZI YA MSHAHARA 
Kusingatia viwango vya serikali ya ngazi ya mshahara TGS A kwa mwezi 

MASHARTI KWA JUMLA 
ix.    Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania 
x.    Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa 
xi.    Waombaji wote waambatanishe na maombi binafsi (CV) 
xii.    Waombaji wote waambatanishe picha 1 passport size ya hivi karibuni  na nakala ya (copy) ya vyeti halisi 
xiii.    Transcript, “Testimonial, Provision Result na statement of resurt havitakubaliwa 
xiv.    Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18 
xv.    Maombi yataanza kupokelewa kuanzia tarehe 21/01/2015 hadi tarehe 03/02/2015 
xvi.    Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta 

Oscar P. Simtengu 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji 
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 

MAOMBI YATUMWE KWA 
MKURUGENZI MTENDAJI (W) 
S.L.P 97 
KASULU 

Source: Daily News 22 January 2015
AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU - JAN 2015 AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU - JAN 2015 Reviewed by Unknown on 2:05:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Education Agricultural Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam Scholarships African Development Bank Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Zanzibar Environmental Catholic Relief Services Dar es salaam USAID Operations FHI 360 UNDP Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF Morogoro Utumishi AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Driver - Logistics Path International Mwanza African Union Tigo Jobs Marketing Mbeya Teaching Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Driver Buzwagi Gold Mine Jhpiego COMESA FINCA JOBS International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Nairobi Coca-Cola Handicap International Pact International Rio Tinto Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD Agriculture Jobs Dodoma Iringa One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa ActionAid Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Safety and Security Shinyanga Jobs Tanzania Breweries Pathfinder International World Health Organization KPMG TANROADS Tanzania Electric Supply Company British Council Futures Group KCB BANK UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays GEITA GOLD MINING TANESCO Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GOAL Mombasa Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor SNV International Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes TCRA Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative Kenyatta University Kigoma Mzumbe University NSSF National Social Security Fund Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital Nepad Partners in Health Room to Read SUMATRA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kagera Librarian MENTOR Initiative Trainee USAILI - INTERVIEW Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TANAPA TASAF Tanzania Social Action Fund Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Moshi NMB BANK Resolute Tanzania Singida Uganda Uganda National Roads Authority University of Dar es salaam University of Dodoma British High Commission ChildFund EWURA FilmAid International NECTA TPDC Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society MADEREVA Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Ruvuma Search for Common Ground Songea TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University NBC BANK National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Njombe Nuru International Nzoia sugar Company RTI International SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Udhamini wa Masomo Western Union AIR TANZANIA Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY SONGWE STAMIGOLD Stores TACAIDS TARURA TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BENKI YA POSTA - TPB BANK BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University ECOBANK ETDCO Electrical Transmission and Distribution Construction and Maintenance Company European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT INSURANCE JOBS - BIMA ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kilombero Sugar Company Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSD MEDICAL STORES DEPARTMENT MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières NIDA National Identification Authority Narok University College OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC PEPSI POLICE - POLISI Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNESCO UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.