Loading...

Mama wa Watoto SOS-x 3

Job title: Mama wa watoto SOS
Duty station: Kijiji cha watoto cha Mwanza (Nafasi 3), Dar es salaam(nafasi 1)
Reporting to: Program Advisor Mwanza

Majukumu ya kazi ya mama/mama msaidizi.

Kuhakikisha ustawi wa mtoto kupitia malezi
Mama ana wajibu kwa ajili ya usimamizi wa nyumba yake na shughuli muhimu ndani ya nyumba yake
Mama ana wajibu wa kuwajengea fursa watoto kuwa huru zaidi na kuwajibika.
Kuendeleza familia kwa upendo, ulinzi, uaminifu na usalama kwa wototo atakaokabidhiwa kwa muda wote.? Kumjenga mtoto katika familia na kumsaidia kiafya, kimwili, kiakili, kijamii kiutamaduni na ustawi wa kiroho wa kila mtoto.
Kuwa jengea uwezo wa kujitegemea na watoto wanaowajibika kwa jamii husika

Muombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo

Awe na umri kati ya miaka 33 na 40.
Awe na elimu si chini ya Sekondari
Awe hana majukumu makubwa ya kifamilia kama vile hana mume, asiwe na watoto wenye umri chini ya miaka 12
Awe yuko tayari kuishi katika Kijiji cha SOS kama mama wa watoto wanaohitaji malezi.
Uwezo wa kuongea kwa lugha ya Kiingereza ni sifa ya ziada.
Kama hana cheti cha sekondari awe na cheti chochote cha malezi ya watoto au barua yoyote ambayo inamthibitisha kuwa amekuwa akijihusisha na malezi ya watototo wanaofanana na hawa.
Mama aliyemaliza kidato cha nne atapatiwa kipaumbele.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

To apply for this position, send your application letter by postal or email describing how your experience, qualifications and competencies make you the right candidate for this position.

Enclose ONLY detailed and updated CV with telephone contacts and details of at least 3 referees. Copies of academic, professional certificates and passport size photo will be submitted by only contacted candidates for the interview.

To apply please send to;

The National Director
SOS Children’s Villages Tanzania
P. O. Box 80462 Dar es Salaam, Tanzania
national.office@sos-tanzania.org

Please Note: SOS Children’s Villages Tanzania is an equal opportunity employer and committed to keeping children safe from abuse and harm, therefore candidates applying for this post will be subject to child safeguarding recruitment procedures and checks.

Only short listed candidates will be contacted
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top